Kama ungekuwa kiongozi wa nchi ni watu gani ungewafukuza?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Mm ningekuwa kiongozi wa nchi ningewafukuza wala Rushwa, na mafisadi wote waende wanakokujua maana wanaharibu sana Maendeleo ya Taifa kwa ujumla.

Vipi wewe ungewafukuza watu wa aina gani?
 
sisiem wote, na kuifuta kabisa
 
Wabunge wote.

Zingatia wabunge waliopo Sasa hivi, si maanishi bunge halina umuhimu ila Kwa hawa tulionao bora tubaki na watu walioajiriwa kama mawaziri, Makatibu wakuu n.k akizingua kibarua kinaota nyasi.
 
Aisee me ningetimua machawa wale wanaojikomba kwa watu mwisho wa siku wanapigwa pipe watoto wa kiume
 
Wabunge wote.

Zingatia wabunge waliopo Sasa hivi, si maanishi bunge halina umuhimu ila Kwa hawa tulionao bora tubaki na watu walioajiriwa kama mawaziri, Makatibu wakuu n.k akizingua kibarua kinaota nyasi.
wabunge wanaokuja majimboni uchaguzi ukikaribia
 
Back
Top Bottom