Kama ungepata nafasi ungefanya nini?

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,298
Reaction score
7,612
Kama ungepata nafasi na uwezo wa kuondoa na kufuta kabisa kitu chochote hapa Duniani ungechagua nini?

Me naanza kwa kuorodhesha vitu 3 ambavyo kama ningepata nafasi uwezo na nguvu ningevifutilia mbali ndani ya dakika 0

1 Pesa

2. Dini

3. Mitandao ya kijamii

Wewe je?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao ya kijamii then Life liwe Bored, unajua binadamu hawezi kukaa bare bila kufanya kitu ndio maana wazee wazamani ambao hawakupata nafasi ya kuwa social network walikuwa wanasuka ukiri na Kofia za tunga just wasiwe Bored.

Portfolio | 2020
 

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 hebu tutoleenux hapa dyadya... Wenzako mbona tunazipenda tu?...πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ naona umekaa mkaa kusubiri le surprise🀣🀣🀣😌😌😌😷😷
 

Sio vizur kumcheka single maza mkuu
 
Mnaipenda mbona kilio kila kukicha loh. Aliyeianzisha Mungu anamuona [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitandao ya kijamii then Life liwe Bored, unajua binadamu hawezi kukaa bare bila kufanya kitu ndio maana wazee wazamani ambao hawakupata nafasi ya kuwa social network walikuwa wanasuka ukiri na Kofia za tunga just wasiwe Bored.

Portfolio | 2020
normal life is boring..hajui huyu jamaa
 
shahada zote zinazozidi shahada ya Uzamili ("masters" au "lisensiati"), kusiwe na PhD (uzamivu) wala Professorial 🀣

na mtu asiruhusiwe soma zaidi ya shahada moja ya uzamili πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…