Kama ungepata nafasi ungefanya nini?

Kama ungepata nafasi ungefanya nini?

Mitandao ya kijamii then Life liwe Bored, unajua binadamu hawezi kukaa bare bila kufanya kitu ndio maana wazee wazamani ambao hawakupata nafasi ya kuwa social network walikuwa wanasuka ukiri na Kofia za tunga just wasiwe Bored.

Portfolio | 2020
Off-line is a good luxury

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungefuta mitandao ya kijamii ila umetumia mtandao wa kijamii kufikisha huu ujumbe wako!!

Ningefuta;
  1. Kifo
  2. Maradhi
  3. Vita/Ugomvi.
 
Nitaichukiaje ndoa kama sipo kwenye ndoa? Yatakuwa maajabu kuchukia kitu usichokifahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,Sio Lazima Sasa kwamba inabidi uwepo kweny Ndoa ili uichukie
Labda umeikosa na Mda umeenda(hujaolewa) Au ulikua nayo ikapotea(single mother) zote ni Sababu za kuichukia
 
Ndio,Sio Lazima Sasa kwamba inabidi uwepo kweny Ndoa ili uichukie
Labda umeikosa na Mda umeenda(hujaolewa) Au ulikua nayo ikapotea(single mother) zote ni Sababu za kuichukia
Sipo kwenye category yoyote hapo, nipo kwenye ndoa na ninaichukia kwasababu naifahamu vizuri, more than 12 years now. But ikitokea nikatoka itakuwa ahueni, nitafurahi kujumuika na masingle mazas wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipo kwenye category yoyote hapo, nipo kwenye ndoa na ninaichukia kwasababu naifahamu vizuri, more than 12 years now. But ikitokea nikatoka itakuwa ahueni, nitafurahi kujumuika na masingle mazas wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooohky
Pole Aisee sasa kwann utake kutoka
What's going on ?
Usitoke Malaki ya watu wanataka kuingia humo ukitoka inawez kula kwako mazima
 
Yaani mm ningekufuta wewe mwenye mawazo ya kipuuzi.
 
Back
Top Bottom