Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,208
Hicho kitu ni simple mkuu
Hahaaa
WooooiiiSipo kwenye category yoyote hapo, nipo kwenye ndoa na ninaichukia kwasababu naifahamu vizuri, more than 12 years now. But ikitokea nikatoka itakuwa ahueni, nitafurahi kujumuika na masingle mazas wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
FactItakula kwangu kivipi? Waache waingie.. ndoa sio mbaya kwa watu wote. Wengi tu wanaenjoy!
Sent using Jamii Forums mobile app
ccmKama ungepata nafasi na uwezo wa kuondoa na kufuta kabisa kitu chochote hapa Duniani ungechagua nini?
Me naanza kwa kuorodhesha vitu 3 ambavyo kama ningepata nafasi uwezo na nguvu ningevifutilia mbali ndani ya dakika 0
1 Pesa
2. Dini
3. Mitandao ya kijamii
Wewe je?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooohhh...yeeeaaaah