Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

Upo sahihi mkuu! Siku nzima watu wanajadili vitu vyakuumiza vichwa,SI vibaya kurefresh kidogo mind zetu, kabla usingizi haujaja.

Ungekua Tausi hapa Bongo ungekua unaishi Ikulu huku ukilindwa Mkuu!
hayupo sahihi mkuu. kwani tausi wote wapo ikulu
 
Kuna wengine wamechagua Nyau kwa masharti ya kuishi ushuani mkuu! Japo yapo mpaka mapaka Pori!
aliyechagua kuwa tausi amependa kuishi ikulu..aisee sijui anawaza nini
 
Ukisikia dishi kuyumba, ndo huku sasa,,,,,,,,,,,binadamu uliye sawa, kwa nini kujifananisha na mnyama (hayawani),,,,,,,,,wewe ni wa thamani mno,,,,,hakuna kiumbe sawa na mwanadam.........
Mkuu usimshangae hilo swali mm niliwai ulizwa kwenye interview
 
Ukisikia dishi kuyumba, ndo huku sasa,,,,,,,,,,,binadamu uliye sawa, kwa nini kujifananisha na mnyama (hayawani),,,,,,,,,wewe ni wa thamani mno,,,,,hakuna kiumbe sawa na mwanadam.........
ahahaha dah
 
Wakati wenzako wakiwaza kuzamia EUROPE/AMERICA/AUSTRALIA huku wewe unawaza ungezaliwa mnyama???? Thanks Lord kwa kumpa kila mwanadamu akili zake.
 
njoo nikuchekeshe na kukutoa stress
 
fuse imekata muda si mrefu anaweza kuchukua ajira ya kikwete
 
Duh!Aiseee kuna watu wa ajabu sana!
Yani unahangaika kumjengea picha mtu usiyemjua,ili iweje?
Hata kama ningekuwa kama unavyodai,wewe ungepungukiwa nini?
Kazi kwelikweli.
Sijui watu mnapata wapi huu muda kwakweli!

Naona dekitambi amefeli mtihani wa kubashiri, sijui nifanyeje kumfanya ajue kuwa amefeli huu mtihani aliyojipa mwenyewe.
Labda nizungumze naye PM ili next weekend tumkaribishe kwenye dunia yetu. Lakini kama Nifah wangu utakubali.

Ova
 
pale kuna matunzo mazuri sana kwa tausi
Na mimi ndio nayapenda hayo matunzo,yani napenda first class treatment.... Kama malkia.
Heheheheeee [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Wajanja kama wewe ndio wanaoweza kung'amua kwanini ningependa kuwa Tausi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…