robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
NIMELAZIMIKA KUMKUMBUKA MWALIMU WANGU WA FASIHI YA KISWAHILI EMILIA MAGALA - IHUNGO SEKONDARI, "Mwanamke amechorwa kama CHOMBO CHA STAREHE" Kumbe dada Nifah uko tayari!!!!!!Hebu muacheni mtoa mada,msipende kila mtu afikiri kama ninyi mnavyofikiri.
Mada nyingine tunacheka tu na kutoa stress,kama hii.
Binafsi nakubaliana na jamaa,na kama ningepata nafasi hiyo ningechagua kuwa ndege tena Tausi.
Najua ningeishi vizuri tena sehemu za kifahari,nisingechinjwa ila ningefanywa kama pambo la thamani.