Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

NIMELAZIMIKA KUMKUMBUKA MWALIMU WANGU WA FASIHI YA KISWAHILI EMILIA MAGALA - IHUNGO SEKONDARI, "Mwanamke amechorwa kama CHOMBO CHA STAREHE" Kumbe dada Nifah uko tayari!!!!!!
 
Ngechagua kuwa kobe hana tatzo na mtu na anaishi miaka mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…