Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi

Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
363
Reaction score
335
Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi Nina ujuzi wa IT (information Technology) na digital marketing, graphics design pamoja na kusimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii (social media manager). Gharama yake ni 400,000 tsh kwa mwezi,

mawasiliano: 0756704145, nipo Dar es salaam, Mbezi.
 
Kwa nn wwe hii yako ya kuwakuzia wenzio haikui?
 
Kama unitaji kukuza biashara mtandaoni nitafute nipo Dar es salaam, Mbezi Nina ujuzi wa IT (information Technology) na digital marketing, graphics design pamoja na kusimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii (social media manager). Gharama yake ni 300,000 tsh kwa mwezi,

mawasiliano: 0756704145, nipo Dar es salaam, Mbezi.
Hongera sana mkuu, promote my system, ukiunza tunagawana share, System Link https://duka.haofo.or.tz/
 
chukue wazo hili kisha uanze kulipush

Kila mtu kwa wakati fulani anakutana na changamoto ya:

✅ Kuhamisha makazi bila magari ya kutosha au ya kufaa.
✅ Kusafirisha mzigo mdogo kama samani moja au vifaa vya ofisi bila kulazimika kulipia lori kubwa.
✅Kukosa huduma inayowajibika, salama na yenye bei nafuu.

Changamoto hizi zinaumiza muda, fedha na hata afya ya mtu. Watu wengi wamelazimika kubeba mizigo wao wenyewe au kuajiri wasio na utaalamu, wakipata madhara kama:

✅ Vitu kuharibika.
✅ Kupoteza muda mwingi kupanga usafiri.
✅Kulipa gharama kubwa zisizo na uwiano na mzigo.

Tatizo lolote la mara kwa mara ni fursa ya biashara.
Hii sekta ya usafirishaji wa mizigo midogo na huduma za kuhamisha makazi bado haina watoa huduma wa kutosha wanaoendana na mahitaji ya watu wa kawaida:

✅ Gharama rafiki.
✅ Wajibu wa usalama wa mali.
✅ Urahisi wa kuomba huduma (mfano simu, app, au DM mitandaoni).

Kwa hiyo, kila mtu aliyewahi kukutana na changamoto hii anaweza kuiona kama mlango wa kuanzisha biashara yenye wateja wa uhakika.

🔆 Kwa Nini eBook Yetu ni Muhimu

eBook yetu siyo tu mwongozo wa maneno; ni mfumo wa hatua kwa hatua wa kuanzisha na kukuza biashara ya aina hii, hata ukiwa na mtaji mdogo.
Ndani yake utakuta:

✅ Mchoro wa mtiririko wa biashara kutoka kupata wateja wa kwanza hadi kuwa na timu kamili.
✅ Mifano ya gharama na bei kulingana na ukubwa wa mzigo na umbali.
✅ Mikakati ya masoko kwa kutumia mitandao ya kijamii na njia za haraka za kupata wateja wa eneo lako.
✅ Mbinu za kujenga uaminifu ili wateja wakupendekeze kwa wengine.
✅ Orodha ya vifaa na magari vinavyofaa bila kuingia hasara ya manunuzi makubwa yasiyo ya lazima.
✅ Mbinu za kupunguza muda wa kazi bila kupoteza ubora wa huduma.

Hii siyo biashara ya msimu mmoja—ni huduma inayohitajika mwaka mzima:
✅ Wanaohama kwa sababu za kazi.
✅ Wanaohama vyuo.
✅ Watu wanaonunua au kuuza samani/vifaa.
✅ Ofisi ndogo zinazobadilisha maeneo.

Kwa mwongozo sahihi, unaweza kuingia sokoni na kuanza kupata mapato mara moja huku ukiijenga biashara inayokua kila mwezi. Ebook nimekuekea hapa EBOOK: Biashara ya Usafirishaji Mdogo wa Mizigo na Huduma za Kuhamia from Bizmtaa on WhatsApp. . Usiache kutufollow mitandaoni Bizmtaa kwa ofa mbalimbali na mafunzo ya ziada(instalive)
 
Back
Top Bottom