Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Hata nyaraka za Usajili walizosaini Hawa viongozi ni batili. Hii inapelekea kua hata wachezaji waliosajiliwa Kwa nyaraka za huyu bwana ni wachezaji batili.
Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa wachezaji feki waliopitia mikataba feki ya usajili ni mechi "hewani", wapinzani wa hizo mechi wanatakiwa kupata points.
Ki msingi mechi zozote walizocheza Hawa wachezaji feki waliopitia mikataba feki ya usajili ni mechi "hewani", wapinzani wa hizo mechi wanatakiwa kupata points.