Kama upo Arusha njoo tutumie pesa... Usiwe unasimuliwa tu jinsi watu wanavyotumia pesa.

Bill Lugano

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
1,189
Reaction score
6,450
Nmemaliza meeting ya Kimataifa hapa Arusha... Wenzangu wameenda Serengeti na Ngorongoro... Mimi nilikuwa huko miezi michache iliyopita nikiwa na RR. Yaan Range Rover.

Sijaona haja ya kwenda nmeona nipoe tu hapa Impala Hotel maana ndo nmepazoea ingawa si Hotel kubwa kama za Dubai, Switz,Usa au Ufaransa.

Nataka nifike pale wanapopika chakula cha Ethiopia. Then nadhan kidogo niingie mtaani maana Arusha siifahamu kabisa.

Nahitaji kuonana na watu wawili watatu smart wa Jf. Mmoja wa kiume na wawili wakike.tuweze badilishana mawazo kidogo nami nijifunze maisha flani ya watu wengine. Pia wanizungushe viwanja mbalimbali hasa vya watu wa daraja la kati.

Maana ukinipeleka Ngurdoto sijui wapi...utakuwa hujanifurahisha maana huko hamna jipya wananifaham mpaka wahudumu.so nataka mwenyeji wa arusha pia nipate na mdada naye anipe experience yake.so tutakuwa watu wanne.

Sijaja na Gari tulitumia Flight.so options ni mimi kuhire, tutumie Uber au kama una gari nzuri hizi za Ulaya kuanzia mwaka 2016-2019 iwe haijawahi gongwa, mpya kabisa. Nitaweka mafuta ya tsh100,000.kuanzia saa 11 mpaka zaa 5 usiku.

So mtu anifuate inbox tuyajenge kumbuka ninapenda kumfaham mtu wa kuonana naye before.

Kama utaumia kwa thread yangu pole. Mi nazipata pesa kwa jasho langu. Na natumia navyopenda. Umaskini wako isiwe sababu ya kuchukia wenye nazo.
 
Oya uwe unaweka hata picha za hela tu..Uzi bila picha Ni umaku farumatembo
 
hahaaaaaa usiombee uvute bangi ukiwa na njaaa., stress mbaya sana, huyu jamaa yupo ushirombo analima makebich na yamekufa yote kwa mvua, na hapo alipo kapiga ndefuu.......you can imagine how desperate he is........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…