Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Woiiii acha niendelee tu kula makande mwenza niliyoyazoeaUkiyaunga hayataitwa makukuru. Yana utamu wake lkn [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Woiiii acha niendelee tu kula makande mwenza niliyoyazoeaUkiyaunga hayataitwa makukuru. Yana utamu wake lkn [emoji3]
Wanawekaga kitunguu wengine..atleast yanakuwa na ladhaNi mahindi na maharage yanachemshwa Kama makande, tofauti haya hayaungwi unayasonga na kuweka chumvi tu. Yanakuwa makavu. Just Imagine[emoji849].
Mtoto Yellow yellow.Hahaha handsome usiteseke bwana sio mm huyo [emoji6]
Ngoja nikufate ulipo usiteseke we mzee kwa ajili yanguMtoto Yellow yellow.
Msukuma nipo hoiii
Kuja fasta!Ngoja nikufate ulipo usiteseke we mzee kwa ajili yangu
ShemHahahhaha kiukweli napenda kusoma post zako nimekuwa shabiki wako
Wa arusha mkuje huku mnaitwa na pedeshee kiduku lilo mtu na pesa zake
kapeace mama ebu pita huku hivi haupo arusha eenh
Foursome inatafutwa hapoKwanin umewaalika wakike wawili na wakiume mmoja!??
Twende shem wangu ukanitoe ushamba wa nanjilinji kwetuShem
tukipata vijisenti na sisi twendege huko Impala hotel
Yana utamu wake, ukionja utayapendaWoiiii acha niendelee tu kula makande mwenza niliyoyazoea
ooh Kumbe! Huku kwetu hatuweki. Ila ni matamu hasa kunywa na chai asubuhiWanawekaga kitunguu wengine..atleast yanakuwa na ladha
Promise me kwamba tukienda huko hautanigeuzia kisogo kama ilivyo kawaida yako ?Twende shem wangu ukanitoe ushamba wa nanjilinji kwetu
😂😂😂😂😂 umeamua kummaliza kabisambona nakuona hapa kwenye msosi kwa mama hamisi unambembeleza akuongezee dagaaa? niko pembeni yako nimeona id kwenye simu jf
😂😂😂😂😂😂 jf vituko sanaa yanihahaaaaaa usiombee uvute bangi ukiwa na njaaa., stress mbaya sana, huyu jamaa yupo ushirombo analima makebich na yamekufa yote kwa mvua, na hapo alipo kapiga ndefuu.......you can imagine how desperate he is........
Yani ukayajenge na tapeli huyo😂Ngoja nikuje PM tuyajenge
Kwani ni tapeli babyYani ukayajenge na tapeli huyo[emoji23]
Kiboko hioNi mahindi na maharage yanachemshwa Kama makande, tofauti haya hayaungwi unayasonga na kuweka chumvi tu. Yanakuwa makavu. Just Imagine🙄.
Hahah haya we nenda tu.Kwani ni tapeli baby
Mbona hunijibuHahah haya we nenda tu.
Huyo jamaa mzee wa kabobo hamna ishuMbona hunijibu
Kwa hiyo umeniruhusu niendeHuyo jamaa mzee wa kabobo hamna ishu