Kama upo Arusha njoo tutumie pesa... Usiwe unasimuliwa tu jinsi watu wanavyotumia pesa.

Ni mahindi na maharage yanachemshwa Kama makande, tofauti haya hayaungwi unayasonga na kuweka chumvi tu. Yanakuwa makavu. Just Imagine[emoji849].
Wanawekaga kitunguu wengine..atleast yanakuwa na ladha
 
Hahahhaha kiukweli napenda kusoma post zako nimekuwa shabiki wako

Wa arusha mkuje huku mnaitwa na pedeshee kiduku lilo mtu na pesa zake

kapeace mama ebu pita huku hivi haupo arusha eenh
Shem
tukipata vijisenti na sisi twendege huko Impala hotel
 
hahaaaaaa usiombee uvute bangi ukiwa na njaaa., stress mbaya sana, huyu jamaa yupo ushirombo analima makebich na yamekufa yote kwa mvua, na hapo alipo kapiga ndefuu.......you can imagine how desperate he is........
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jf vituko sanaa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…