October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Nina idea ndogo tu ya biashara inayoweza kutuingizia 500,000/= kwa kuanza tu Kwa mwezi then hadi 800,000/= tukiiboresha mbeleni huko.
Mimi naishi DSM ila nasoma Dodoma, idea hii dhumuni langu kuifanya DSM ila nimestuka hata hapa Dodoma mbona naweza ifanya tu ila nimestuka muda ushakwenda week ijayo naondoka DSM likizo ila naweza weka mambo sawa before kuondoka DSM.
Dhumuni la uzi huu namtaka Business pertiner wa biashara hii biashara, sifa zake
1) Ajue kutengeneza juice
2) Muaminifu & Asiyekiuka makubaliano
3) Awe na uthubutu na malengo ya kufika mbali na kupanua project hii.
4) Aweze kusimamia biashara nikiwa sipo
Sio lazima awe na pesa njoo inbox nitakupa strategy nzima biashara itaendeshashwa vipi.
NB: muda ushaenda nipo bize na mitihani ya UE ila kuanzia Leo na kesho ijumaa imeachia kidogo, so Kama upo serious na mpango nicheki siku izi mbili tuyajenge.