falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] unazinguaga na iyo kitu yako watu wanajuaga link ya group
*strategies zanguIdea yangu tofauti na hakuna aliyewai ifanya, naamini strategic zangu
Research report pleaseKwa Dodoma Juice ni bado sana
anza mwenyewe kidogo kidogo huku unasoma, Bias HASARA ni lazima uanze nayp wewe mwenyewe
- hakuna joto kama Dar
- vumbi haljatulia, juice za kuchanganya na kuongeza sukari zinaleta kisukari
- Mabwana na Mabibi afya hawatakuachia
- utamwagia kama yule Bint wa Posta Dar
karibu Dodoma
Just the same*strategies zangu
Just the same
Sio,Just the same
Mimi nipo dodoma....lets do itNina idea ndogo tu ya biashara inayoweza kutuingizia 500,000/= kwa kuanza tu Kwa mwezi then hadi 800,000/= tukiiboresha mbeleni huko.
Mimi naishi DSM ila nasoma Dodoma, idea hii dhumuni langu kuifanya DSM ila nimestuka hata hapa Dodoma mbona naweza ifanya tu ila nimestuka muda ushakwenda week ijayo naondoka DSM likizo ila naweza weka mambo sawa before kuondoka DSM.
Dhumuni la uzi huu namtaka Business pertiner wa biashara hii biashara, sifa zake
1) Ajue kutengeneza juice
2) Muaminifu & Asiyekiuka makubaliano
3) Awe na uthubutu na malengo ya kufika mbali na kupanua project hii.
4) Aweze kusimamia biashara nikiwa sipo
Sio lazima awe na pesa njoo inbox nitakupa strategy nzima biashara itaendeshashwa vipi.
NB: muda ushaenda nipo bize na mitihani ya UE ila kuanzia Leo na kesho ijumaa imeachia kidogo, so Kama upo serious na mpango nicheki siku izi mbili tuyajenge.