Kama upo Dodoma tuanze hii biashara

Kama upo Dodoma tuanze hii biashara

Kwa Dodoma Juice ni bado sana
  • hakuna joto kama Dar
  • vumbi haljatulia, juice za kuchanganya na kuongeza sukari zinaleta kisukari
  • Mabwana na Mabibi afya hawatakuachia
  • utamwagia kama yule Bint wa Posta Dar
anza mwenyewe kidogo kidogo huku unasoma, Bias HASARA ni lazima uanze nayp wewe mwenyewe
karibu Dodoma
 
Kwa Dodoma Juice ni bado sana
  • hakuna joto kama Dar
  • vumbi haljatulia, juice za kuchanganya na kuongeza sukari zinaleta kisukari
  • Mabwana na Mabibi afya hawatakuachia
  • utamwagia kama yule Bint wa Posta Dar
anza mwenyewe kidogo kidogo huku unasoma, Bias HASARA ni lazima uanze nayp wewe mwenyewe
karibu Dodoma
Research report please
 
Tatu mzuka, ukishinda Tanzania inashinda

Biko, mabingwa wa bahati yako.

Anyway waliopo Dom changamkieni fursa
 
Nina idea ndogo tu ya biashara inayoweza kutuingizia 500,000/= kwa kuanza tu Kwa mwezi then hadi 800,000/= tukiiboresha mbeleni huko.

Mimi naishi DSM ila nasoma Dodoma, idea hii dhumuni langu kuifanya DSM ila nimestuka hata hapa Dodoma mbona naweza ifanya tu ila nimestuka muda ushakwenda week ijayo naondoka DSM likizo ila naweza weka mambo sawa before kuondoka DSM.

Dhumuni la uzi huu namtaka Business pertiner wa biashara hii biashara, sifa zake
1) Ajue kutengeneza juice
2) Muaminifu & Asiyekiuka makubaliano
3) Awe na uthubutu na malengo ya kufika mbali na kupanua project hii.
4) Aweze kusimamia biashara nikiwa sipo

Sio lazima awe na pesa njoo inbox nitakupa strategy nzima biashara itaendeshashwa vipi.

NB: muda ushaenda nipo bize na mitihani ya UE ila kuanzia Leo na kesho ijumaa imeachia kidogo, so Kama upo serious na mpango nicheki siku izi mbili tuyajenge.
Mimi nipo dodoma....lets do it
 
Back
Top Bottom