Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #41
Ahahaaaa nimecheka sanaAisee sijawahi ona miss mwenye tumbo ka kiroba cha pamba........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaaa nimecheka sanaAisee sijawahi ona miss mwenye tumbo ka kiroba cha pamba........
Nimevaa pedoNilikuona mkuu, si ndo wewe ulivaa suruali nyeusi na t shirt ya kijivu
Nilipewa bure msaada mkuuHiyo tshert umenunua bei gani eti? Nataka nikanunue nikadekie
Ahahaaa sausage ya kuchemsha au kukaanga?hivyo vidole unaweza fikiri ni sausage...anyway msalimie mtoto huyo
kuchemsha mkuuAhahaaa sausage ya kuchemsha au kukaanga?
Ahaaaa njoo nikuchemshiekuchemsha mkuu
nakujaAhaaaa njoo nikuchemshie
Kwa uzoefu wa macho na ubongo wangu, wewe una mabaja makubwa lakini Chura ya kawaida imemezwa na hipsNimevaa pedoView attachment 881026
Ahaa nimeelewa sasa, nilifikiri ni suruali umeikunjaNimevaa pedoView attachment 881026
Kwani tunazungumzia nini hapaKwa uzoefu wa macho na ubongo wangu, wewe una mabaja makubwa lakini Chura ya kawaida imemezwa na hips
Kumbe mnafuatilia avatar humu.Mimi ni mbaya sana tu kwani kuna shida Mkuu?
kwenye huo ubaya wengine ndio ugonjwa wetu hapo
Kwani tunazungumzia nini hapa
Mi nimewasalimia tuNazungumzia nilichokiona katika picha
Njoo hapa uwanjaniMiss Natafuta njoo PM tubadilishane mawazo, [emoji23][emoji23]
Ulitaka kunichoma?Ewe nguruwe pita, sina mkuki mie...