Kama upo hapa uwanjani njoo tusalimiane

Kama upo hapa uwanjani njoo tusalimiane

ndio upo njiani waja home " kwangu"....?? hatimae hayawi yamekuwa".... leo hii shetani amenikumbuka na mie"...
 
Umependeza mwaya miss,hips kama lote!! Ila wanaume wa humu mmmh hao walioponda wote utakuta ni vise versa kwa madem wao alafu hapo unamtoto mdogo
 
Umependeza mwaya miss,hips kama lote!! Ila wanaume wa humu mmmh hao walioponda wote utakuta ni vise versa kwa madem wao alafu hapo unamtoto mdogo
Ahahaaa mi mbaya shosti kwani shida gani .achana nao hawa madogo.nyuma ya keyboard kuna Mengi si unajua?
 
Back
Top Bottom