Kama upo moro NPM

Sasa si watafute watu wa Msolwa hapo au kisawasawa uwalishe Ndungu na mchopeke wakuombee duwa mkuu
 
Sasa si watafute watu wa Msolwa hapo au kisawasawa uwalishe Ndungu na mchopeke wakuombee duwa mkuu



hahahahha kitu cha mchopeko hhah awaalike wa siginali!hahahah au awaalike wa kikwavila hahaha
 
Ulifika Nyamatandala nicheki man, ila uongeze pesa hiyo atleast ifike ile kishika uchumba ya Bombardier Q-400 nkupeleke Matako bar na Chamwino

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana, sisi wa wali na samaki


samak wa huko walishanishinda kabsiaaaaaa hawana ladha kbs yaan ova unatafuna godoro hahaha! nhazoea sato mie na sangara! mji ovyo ovyo lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…