sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Kuna kamilioni kananiwasha njoo tukatumbue niko MANG"ula hapa njoo haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakufa leo hakikaKuna kamilioni kananiwasha njoo tukatumbue niko MANG"ula hapa njoo haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashiii!!Mang'ula huko bush nani aje,nikadhani upo Samaki sport
Sasa si watafute watu wa Msolwa hapo au kisawasawa uwalishe Ndungu na mchopeke wakuombee duwa mkuu
hahahahha kitu cha mchopeko hhah awaalike wa siginali!hahahah au awaalike wa kikwavila hahaha
Weeee kikwawila nimeisha hapo nilikuwa na shamba LA bibi na babu, kwetu V/60
hahahah napajua na mm !lolhuko v60 nakusikia tu,kaporo ndo nakufaham zaid
hongera
Karibu sana, sisi wa wali na samaki