Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Habari wakuu!
Baada ya kutoa training dar kuhusu forex , TMT (The Million Team) chini ya usimamizi wa boss ONTARIO sasa ipo mbioni kuanza kutoa mafunzo hayo kwa wale watu wa mikoani ,, mafunzo haya yanatarijiwa kuanza kutolewa kikanda. kwa upande wa nyanda za juu kusini nazungumzia mikoa ya Rukwa, Mbeya,Njombe na Ruvuma mafunzo hayo yatafanyika Mbeya Wenyewe wanaita Green City. Kigezo kikubwa wapatikane watu 100 ambao watakuwa tayari kwa training , mafunzo yatafanyika kwa wiki 1 na gharama ya mafunzo ni TSh 130,000/= tu. Kama upo tayari kuhudhuria mafunzo hayo Mbeya jiunge kwenye kundi la whatsapp kwa maelezo zaidi. link >>>> S.HIGHLAND ZONE FOREX
Kumbuka list inakaribia kukamilika wahi mapema..na watu wa dar pia mnakaribishwa