Kama upo single usitamani ndoa

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,526
Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa,

Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera πŸ‘‹πŸ‘‹πŸ‘‹

Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio maana napinga maisha ya ndoa kwa visa na vitimbi nilivyokumbana navyo

Niliteseka sana ku hustle lili mke WANGU aishi vizuri lakini akanicheat kwa jirani tunaekaanae nyumba hiyo bila huruma daah πŸ˜”πŸ˜”

Maamuzi yalifuata nikavunja ndoa, nikijiuliza kea nini mke WANGU aliamua kunisaliti maybe I'm goigoi kitandani ILA mbona kama kweli mi goigoi mbona alikuwa amalia nimuache ametosha mpaka anasema "inawaka πŸ”₯ nimuache ametosha"

Ningali single ndipo nilipoanza kufanya research Ili nijue shida ya wanawake kusaliti ndoa ni nini tatizo !!

Nikaanza kutongoza wake za watu tu Ili nipate majihu ya utafiti wangu

1.A****s huyu sikumpavhata jojo ILA NILI muta kiss kujiweka kwangu smart heti ndio maana akanipenda

2.L****a huyu ni binti mdogo ILA kawekwa ndani na kijamaa let's say nae ni mke wa mtu tu ,

Huyu binti ukweli ni mzuri amaizing binti kununa hajui yeye ni ku smile all time huyu binti alichonipendeaa kwa mujibu wa maelezo yake ni kukamia kwangu mechi na kumpeleka ambapo mumewe hajawahi ndio maana kanipenda' ILA nimesha mura

Nisiwachoshe sana ndugu zangu kiufupi WANAWAKE hawajui wanataka nini na ni watu rahsi sana kushawishika

Natamatisha kea kusema "

"POLE I SANA VIJANA WENZANGU MNAOTESEKA NA MAISHA:YA NDOA "
 


Wewe unapata mambo yanayoendana na wewe u seem to live mediocre life usitarajie kupata Mwanamke


Don't be cheap
 
Ndoa ni tendo Takatifu, shida labda ulitaka figure not minded.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…