Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Trump kawaumbuwa wale wote waliokuwa wanamshabikia ZeleWatu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine!
Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine.
Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi.
Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita ingeisha ndani ya wiki mbili!
Urusi anapigana na mataifa 30 ya NATO, hakuna nchi dunia hii inaweza pigana idadi kubwa kama hii. Hata USA asingeweza.
Hakuna vita vinavyopiganwa na mtu mmoja,Russia inapigana kwa msaada wa Iran na Korea kasikazini ambayo inapigana vita vya ana kwa ana kwa kutumia askari wake elfu10.Ni kwa sababu malengo ya kupigana na jeshi la mtu mmoja (Putin) yalishindwa vibaya! Na badala yake wameingia tu hasara kubwa.
Vita vya Urusi na Ukraine vina faida kwa usalama wa Urusi na warusi kwa vizazi vya Sasa na vizazi vijavyo.Vita vya Russia na Ukraine havina faida yoyote zaidi ya kusababisha athari za kiuchumi duniani ndio maana Trump ana taka viishe haraka na hakuna anaepigana vita bure kwa kulijua hilo Trump kawahi kwenye madini ya Ukraine ili afidie hasara anazo zipata kutokana na kuisaidia Ukraine.
UKo sahihiNiliwai toa andiko kuwa Ulaya na Marekani wapo kwenye kujitafuta kwasasa ndio wanataka Vita isimame ili Wqjipange Upya !!!!!
kwasasa Russia anawazoom Ukraine yote kila wakipanga Russia anabomoa zana zao !!!!!
ndio unaona Tramp anacheza na Akili za Putin kosa kubwa ikiwa Putin atakubali kusimamisha Vita !!!!
itakuwa ni kosa kubwa la kivita..
Wazungu wa ulaya awajachoka kama watu wanavozani !!
lkn kwasasa Wamebanwa namna ya kusafirisha mizigo yao ya silaha lkn Wanaitaka hiii vita pamoja na Tramp lao moja!!!
.. unachokiona kwasasa juu ya kutafuta Aman ni kiini macho tu..!!!!