Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine!
Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine.
Ukraine ipo tu pale kama platform, kama uwanja wa vita baina ya NATO na Urusi.
Hata Trump alimwambia Zelensk kama sio USA basi vita ingeisha ndani ya wiki mbili!
Urusi anapigana na mataifa 30 ya NATO, hakuna nchi dunia hii inaweza pigana idadi kubwa kama hii. Hata USA asingeweza.