Kama USA Wabunge Wasio na Nidhamu Hutolewa Nje ya Bunge ,Kwa Nini Wakwetu Wakitimuliwa Inakuwa Nongwa Kwa CHADEMA?

Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo;
1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi

2.Kumbe Kila Chama kinatekeleza na kufuta ya Watangulizi wake tofauti na tunavyodanganyagwa eti Rais Mpya anaanza alipoishia mwingine (No consistency kwenye politics)

3.Kumbe Wabunge wa Upinzani Huwa Wanafukuzwa Wakikosa Nidhamu na zomea zomea.

4.Kumbe Hadi Huko USA Kuna Machawa eg Trump

5.Kumbe Bunge la USA Lenye Republican wengi ni Ruber Stamp hakuna kitu Cha Rais wanapinga ila ndio Mzee.

6.Kumbe nako Rais Huwa anawafuta kazi Watu wenye msimamo tofauti au kupinga mambo yake eg Kufutwa kazi Kwa Mkuu wa CIA/FBI na Mkuu wa Majeshi.

7.Kumbe Rais anaweza FUTA na Kuunda Idara Yeyote anavyojiskia na Kumpa Anaemtaka eg Kufutwa Kwa USAid na Kuunda Idara anayosimamia Chawa Elon Musk.

My Take
Utapeli na Uongo wa Chadema inazidi kuwekwa Wazi.Watafute sera nyingine 😂😂👇👇
Rais wa Marekani, Donald Trump, usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025, alikumbana na upinzani mkali wakati wa hotuba yake kwa Bunge la Marekani.

Hotuba hiyo ilikatizwa mara kwa mara na kelele za kupinga kutoka kwa wabunge wa chama cha Democratic, hali iliyosababisha kutolewa nje kwa Mwakilishi Al Green wa chama hicho.

Katika dakika za mwanzo za hotuba hiyo, wabunge wa upinzani walisikika wakiimba, "USADI! USAID," na Mwakilishi Al Green (D-Texas) alisimama, akapaza sauti na kutikisa fimbo yake kuelekea kwa Trump huku akisema kwa sauti:

Kwani Tanzania ni USA? Mbona USA wanafuatilia wana siasa na wapambe wezi wa mali ya umma, sisi tunawapigia makofi?
 
Unasubiri matukio yad

Unasubiri matukio unayatafsiri unavyotaka Kisha unaandikia katiba ya Marekani alafu unaichukua hiyo katiba yako uliyoitengeneza unaifanyia analogy na Tanzania. What an absurd and fallacious argument!

Tz na Marekani wanatofautiana Kwa kiwango kikubwa mno katika siasa na vitu vingine. Huwezi kujenga Analogy hapo. Hamna mashiko hapa.
 
Trump hakukoswa na risasi mara 2?

Waziri wa Japan hakupigwa kisu hadi kufa?

Cha ajabu ni kipi kwenye siasa za kugombea madaraka?
Wote waliofanya hayo walikamatwa ama kushugulikiwa na vyombo vya dola. Hapa dola ndio inalinda watuhumiwa.
 
Hata kwetu wamekamatwa au waasakwa.

Mnajadili Yale ambayo hayako kwenye orodha hapo Juu 😂😂
 
Unasubiri matukio yad
Unasubiri matukio unayatafsiri unavyotaka Kisha unaandikia katiba ya Marekani alafu unaichukua hiyo katiba yako uliyoitengeneza unaifanyia analogy na Tanzania. What an absurd and fallacious argument!

Tz na Marekani wanatofautiana Kwa kiwango kikubwa mno katika siasa na vitu vingine. Huwezi kujenga Analogy hapo. Hamna mashiko hapa.
Kwani hayo niliyoandika ni matukio au utaratibu uliofanywa na Rais wa USA kinyume na mnavyodanganyaga watu 😂😂

Huo utofauti ni upi ikiwa hayo mambo yote yanafanyika pande zote? 🤣🤣
 
Kwani Tanzania ni USA? Mbona USA wanafuatilia wana siasa na wapambe wezi wa mali ya umma, sisi tunawapigia makofi?
Wewe nyumbu acha ufala,mnapotoleaga mifano huko USA na Ulaya Huwa ni Tanzania? 😆😆😆
 
Chadema always ni wapotoshaji ndiyo maana hupuuzwa na wananchi mara zote 🐒
Kwa kweli Trump ametusaidia sana kuwaumbua Kwa sababu yeye ni maarufu kwenye media , wengine walikuwa wanafanya ila Kwa kuwa sio maarufu hatukujua mapema ndio Chadomo Waka take advantage ya upotoshaji.
 
Kwani USA wanafunzi wanakaa chini?
Kwani USA bado wanajenga barabara za vijijini kwa kiwango cha changarawe?
Kwani USA wana uhaba wa madarasa?
Kwani USA bado wanajenga vitua vya Afya vijijini?
Kwani USA bado wanapewa msaada kujazia budget yao Kila mwaka?
Zaidi ya 80% ya watanzania wanaishi kwenye skwata, wamarekani Wangapi wanaishi kwenye skwata?
Leo hii jiji la Dar es salaam Lina shida ya maji huku eti tunaambiwa kina cha maji mto ruvu kimepungua.

Hakuna chochote unachoweza kuinyoshea kidole USA na ukafanisha na Tanzania Kwani wao walishamalizana na basics ambazo wewe hata robo hujazigusa.
 
Vyote hivyo wanafanya,hujasoma hapo wanataka kufuta bima Kwa watu maskini 🤣🤣🤣

Shida yenu ni ujinga mnaosimuliana huko vijiweni au hukusikia Tramp akisema magari ya Zima moto hayana maji Wala Bajeti? Kuna tofauti na Tzn? 😆😆

Mwisho kwani nanyoshea kidole au nafananisha na yale uanatokea kwetu ambao Huwa mnaaminisha watu kwamba hayapo huko kwingine?
 
Wewe nyumbu acha ufala,mnapotoleaga mifano huko USA na Ulaya Huwa ni Tanzania? 😆😆😆
Kuna lugha fulani mtu akiandika tayari anajiweka kwenye position anayostahili kukaa.

Baada ya muda mchache utakosa pakushikia kama wale unaowapa hadhi ya Mwenyezi Mungu wakisambaratika
 
Igeni demokarisia ya U.S.A achanenini na trivial issues. USA huwa kila kura ya mwananchi iko valued and counted. Hakuna mtu anayetangqzwa mshindi bila kushinda kama hapa tz ambapo hawa walitangazwa washindi bila kushinda.

1. Majaliwa
2. Nape
.3.. Mkumbo

4. Gwajima

5. Mafue
6.; Jpm
Nk
Toka Trump awe Rais amesaidia sana kuonesha mambo yafuatayo;

1.Kwamba kumbe Urais ni One Man Show (Matakwa ya Rais) tofauti na Chadema wanavyodanganyaga eti ni taasisi

2.Kumbe Kila Chama kinatekeleza na kufuta ya Watangulizi wake tofauti na tunavyodanganyagwa eti Rais Mpya anaanza alipoishia mwingine (No consistency kwenye politics)

3.Kumbe Wabunge wa Upinzani Huwa Wanafukuzwa Wakikosa Nidhamu na zomea zomea.

4.Kumbe Hadi Huko USA Kuna Machawa eg Trump

5.Kumbe Bunge la USA Lenye Republican wengi ni Ruber Stamp hakuna kitu Cha Rais wanapinga ila ndio Mzee.

6.Kumbe nako Rais Huwa anawafuta kazi Watu wenye msimamo tofauti au kupinga mambo yake eg Kufutwa kazi Kwa Mkuu wa CIA/FBI na Mkuu wa Majeshi.

7.Kumbe Rais anaweza FUTA na Kuunda Idara Yeyote anavyojiskia na Kumpa Anaemtaka eg Kufutwa Kwa USAid na Kuunda Idara anayosimamia Chawa Elon Musk.

My Take
Utapeli na Uongo wa Chadema inazidi kuwekwa Wazi.Watafute sera nyingine 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DGz_nO1zJwm/?igsh=MWIzc3d0MGlqNTZ6cw==

Back
Top Bottom