Kama ushawahi kukutana na mkaka mtanashati sana Dar hadi ukashikwa na butwaa basi ujue alikuwa mimi

Shuuwaaini
 
Dogo huu ujinga next time usije ukapost tena humu, nenda tiktok uwe unaenda live ili vitoto vya 2000 uende navyo sawa. Hivi unajua humu mpaka raisi wako huwa anaingia humu?
 
Hongera sana kwa uzuri uliojaliwa.
 
Wallah umeumbika, you have a very attractive back, rejea uzi wa ndege john
 
Mbaya zaidi ni kua P diddy tayari ameshaekwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…