Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni nani?
Nipo mkuuUlipotea 😃
ShuuwaainiKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Hahahaha kweli yawezekana upo tunapishana tu, hii JF ni dunia hii 😃😃😃Nipo mkuu
Dogo huu ujinga next time usije ukapost tena humu, nenda tiktok uwe unaenda live ili vitoto vya 2000 uende navyo sawa. Hivi unajua humu mpaka raisi wako huwa anaingia humu?Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Hongera sana kwa uzuri uliojaliwa.Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Bwabwa linajitangaza.
uongo huoOmbeni nanyi mtapewa
[emoji1787]oooh ulivaa shati la khanga eeeh
muanzisha sredi anaependeza na mtanashatiHuyu ni nani?
Wallah umeumbika, you have a very attractive back, rejea uzi wa ndege johnKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sana.
Ukweli ni upiuongo huo
Mbaya zaidi ni kua P diddy tayari ameshaekwa ndaniKuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na butwaa, bas ujue ndio mimi.
Maeneo mengi ninayoendaga hua na catch attention ya watu hadi sio poa, niliookuaepo watu lazima watahizi uwepo wangu.
Uzuri ni kuwa, hata upstairs niko vizuri sanMaya z
Sogeza sikioUkweli ni upi
TDH nimeziona hizi sifa😂nimempenda bure🤣🤣🤣🤣muanzisha sredi anaependeza na mtanashati
Usije ukaondoka nalo tuSogeza sikio