Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Na bado, mechi ya marudiano 03/06/2023 hutaamini hawa ni Wananchi au ni Mabingwa wapya wa CAFCCL 2023.Mlikuwa mnacheza na wachovu sana, wale USM ni vile mmeliwa 2 1, je.mngekuwa huku kwenye championship mkapangiwa na Wydad ingekuwaje maana nimeziona goli 4 za wazi mwarabu kakukosa Leo, tengeneza timu, ulikuwa na timu ya kawaida sana isipokuwa aina ya timu ulizokuwa unacheza nazo ni mbovu mnoooo.
Mpira una vitu vingi kiwanjani, hata hao waliyoifunga Yanga leo wametoka kufungwa na mshuka daraja.Hawa USMA kwa level za Champions league nawafananisha na Vipers, wepesi sana ila ndo hivyo sasa ndugu yetu kashazoea kucheza na wanaoshuka daraja
Na refa kawabebaaa, wee dkk 10 nyongezaaa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwanja ni wako, wachawi wote ni wako...mwiko unazamishwa zaidi na kukorogwa ukiwa kwenye halafu unasema na yeye naenda kumshindilia huu mwiko kwake. Ndoto za alinacha.