Kama USM ni vile, ingekuwaje kama ungecheza na Wydad?

Kama USM ni vile, ingekuwaje kama ungecheza na Wydad?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Mlikuwa mnacheza na wachovu sana, wale USM ni vile mmeliwa 2-1.

Mngekuwa huku kwenye championship mkapangiwa na Wydad ingekuwaje maana nimeziona goli 4 za wazi mwarabu kakukosa leo.

Tengeneza timu, ulikuwa na timu ya kawaida sana isipokuwa aina ya timu ulizokuwa unacheza nazo ni mbovu mnoooo.
 
Mlikuwa mnacheza na wachovu sana, wale USM ni vile mmeliwa 2 1, je.mngekuwa huku kwenye championship mkapangiwa na Wydad ingekuwaje maana nimeziona goli 4 za wazi mwarabu kakukosa Leo, tengeneza timu, ulikuwa na timu ya kawaida sana isipokuwa aina ya timu ulizokuwa unacheza nazo ni mbovu mnoooo.
Na bado, mechi ya marudiano 03/06/2023 hutaamini hawa ni Wananchi au ni Mabingwa wapya wa CAFCCL 2023.

Yanga atashinda goli 2-0 kwa dakika 70 tu, mwenye masikio asikie na macho ashuhudie, nimekaa pale [emoji117][emoji142].

Bahati ni bahati tu kwa Wananchi hata kama Kolowizards umeamua kuwa Mwarabu Koko [emoji2]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Uwanja ni wako, wachawi wote ni wako...mwiko unazamishwa zaidi na kukorogwa ukiwa kwenye halafu unasema na yeye naenda kumshindilia huu mwiko kwake. Ndoto za alinacha.
 
Hawa USMA kwa level za Champions league nawafananisha na Vipers, wepesi sana ila ndo hivyo sasa ndugu yetu kashazoea kucheza na wanaoshuka daraja
Mpira una vitu vingi kiwanjani, hata hao waliyoifunga Yanga leo wametoka kufungwa na mshuka daraja.
 
Wangechezea 8 bin thufuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uwanja ni wako, wachawi wote ni wako...mwiko unazamishwa zaidi na kukorogwa ukiwa kwenye halafu unasema na yeye naenda kumshindilia huu mwiko kwake. Ndoto za alinacha.
Na refa kawabebaaa, wee dkk 10 nyongezaaa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom