Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
hauna buti zisizo na soli wala kamba mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauzaje mkuu,na mbona haujaiweka kwa orodha?Ipo kwani vippi?
Nimeona nisiweke ili kutoeachosha wasomajiUnauzaje mkuu,na mbona haujaiweka kwa orodha?
Nimecheka sana Mkuu, mbona unaleta mzaha kwa biashara za watumkuu tuongee bei kwenye freezer, nahitaji kwa ajili ya kufugia panya. NB: usafiri ni juu yako, upo tayari
Ni utani tu mkuuKwa nini hivyo vitu usipeleke kwa wazazi wako wakuone wa maana kuliko siye tunayekuona wa kupimwa mkojo?