Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
6,479
Reaction score
4,974
Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote.

Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea mashaka. "Huenda ni mushoga huyu anayejificha nyuma ya vitisho na ukali wake". Hey, look very nawaambia!!

Watu wa kwanza kumchoma na kumpiga mwizi ni wezi mjue....kwa kufanya hivyo wanajihakikishia usalama wa kuhisiwa.

Watch your back! Ni kauli inayotamalaki Sasa jf....inafurahiwa kweli kweli. Mamamamaee, hapa napo pachunguzwe. Mwanaume wa kweli unaongeaje hivyo bwana?!!!! Mgongo wa mwanaume unajilinda kwa uanaume wako tu, Wala hauna haja ya kupiga kelele......kijijini kwetu watakutilia mashaka kwanini hujiamini na mbona kama ni namna ya kuwastua mafirauni waugeuzie macho huo mgongo?!!!! Hey, look very verrrry nawaambia

Najua anafanikiwa kirahisi kwenye hii ajenda yake sababu ametumia mbinu nzuri kwa Samia haters; mbinu ya kushambulia wasanii wasio na chuki na Samia, ni hivyo tu. Chuki kwa Samia imewafanya haters wake wasiwe wajanja wa kung'amua baadhi ya mambo.

Point ya msingi iliyosummeraiziwa, “People who are constantly pointing fingers at others may be hiding the very faults they accuse others of having.”
 
Back
Top Bottom