Kama utani ila hiki chama kinazidi kutuletea madudu, leo hii wanaanza kuforce watu kushiriki kampeni zao

Kama utani ila hiki chama kinazidi kutuletea madudu, leo hii wanaanza kuforce watu kushiriki kampeni zao

05CUBA

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2025
Posts
1,106
Reaction score
1,650
Nimeona hii kitu nimesikitika sana. ... ila TZ Inawenyewe.. kabla ya kampeni au baada atadondoka mtu
Screenshot_20250827_214410.jpg
 
Sio hapo mpaka vituoni siku ya kupiga komwe la NIDA tutafatwa na difender majumabuni kujua nani NIDA ilitumika kwenye router ya WiFI ya kuonesha ubongo kids.
 
Back
Top Bottom