Mightyarmy
JF-Expert Member
- Oct 10, 2023
- 316
- 460
kwa hyo mimi ni shetani Mkuu .Shetani amekutumia brother kumtoa huyu mama kwenye njia ya wokovu. Hii ni fundisho jinsi shetani anamnyemelea mtu wa Mungu mpaka kuanguka kwenye dhambi kwa kupemda raha ya mda mfupi. Mungu akutane na huyu mama aweze kutubu na kurudi kwenye njia ya Bwana kabla mauti haijanfika. Kweli nimeuzunika sana maana huyu mama anapoteza mana aliyopewa . Kuwa mlokole ni vita anyway kunahitajika msaada wa Mungu ili uweze kushinda sababu shetani ni mdanganyifu sana na ni baba wa ungo (Yohana 8:44 Ninyi ni watoto wa baba yenu shetani,, kwa hiyo mnapenda kufanya maovu kama yeye. Tangu mwanzo yeye alikuwa muuaji. Shetani anadanganya kwa kuwa yeye ni mwongo na ni baba wa uongo.)
Kumbe mzee wa kanda maalumu wakukatisha katikati ya michongoma leo upo kwa mumamadogo acha jau me wa afu tisini na kitu
Huu uzi wako umenifanya nilikumbuke moja langu tulipotezana nmelipigia saivi limefurahi kinoma, sikuwa namtafuta mana alihamishiwa wilaya nyingine kikazi na mimi nikapata kitoto cha 2000 nikamkatia mawasiliano... She is the best I ever had.Sana yaani , kama hutaki stress za kuombwa pesa njoo huku
🤣🤣🤣Stori ndefu kama gazeti la UDRAAKUU...
Nenda kwenye pwenti watu tuone mbunye inasasambuliwa vilivyo, lishangazi limechumishwa mboga kwenye saiti ya ujenzi linapokea mikito ya KITANGANYIKA
Cc: Lamomy Poor Brain