Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

Kama utani nimenasa kwa Mama mtu mzima

Inaendelea ...

Basi bna baada ya kumfanyia huyo Mwana Mama kazi yake kwa awamu ya kwanza na ya pili , tulijikuta tu tumeanza kuchat, hasa yeye akitaka sana kujua kuhusu mimi.Nilimueleza kuhusu mimi na yeye akaniambia kuhusu yeye .

Acheni tu mapenzi yana kiherehere sana na hayana adabu.Ilikua ni mwezi wa Kwanza mwaka huu ,kuna siku katika chat chat zetu huyu Mama aliniuliza kama nina mke , nikamwambia ninaye lakin hatuishi pamoja , sababu pia nikampa basi akaelewa na me pia nikamuuliza kama yeye pia ana mume . Alinipigia simu akanambia kwanini nimeuliza hvyo , nikasema nimependa tu kujua.

Ali ni fungukia mengi kuhusu yeye , kuwa mme wake wana mwaka wa nne sasa hawako pamoja.nilimpa pole na tukaongea mambo mengine tukaagana.

Tulizidi kuwasiliana hatari yaani ilikua haipiti siku hajanitafuta au mimi kumtafuta.yaani nilikua naona raha sana tukiwasiliana cjui kwanini?, ila ndo hivyo mazoea yalizidi sana.

Mwezi huu wa pili nakumbuka ilikua inakarbia siku ya mfungo wa kwaresma , usiku wakati tuna chat kama kawaida, siku hiyo alikua anajaribu kunishawishi niwe mlokole lakin nilikataa .

Story ziliendelea nikawa nimemuliza swali kuwa hisia zake anajitibu vipi wakati hana mume.Alinambia kuwa hua ana muomba Mungu hisia zinakata 😂 , hapo mwenyewe nikakosa cha kumwambia , maana nia yngu ilikua ya hovyo.

Nilimuomba anitumie picha zake Whatsapp ili niwe namuona , akasema hayuko whatsp lbda Facebook, basi akanipa jina lake nikamtafuta tukawa tuna chat huko, siku hiyo alinitumia picha zake nyingi tu na yeye akaniomba picha nikamtumia.

Cha ajabu akataka picha yangu niliyopiga muda huo, nilijifanya sijamuelewa nikamuuliza picha ya aina gani hyo anataka.Alinambia nipigie picha nikiwa kitandani daah ,nilipiga self nikamtumia lakin yeye akaendelea kudai nimtumie nikiwa fully ( nia yake nimtumie picha ya dudu langu ) , nilisema potelea pote ngoja nimtumie tu kwani shingapi.

Alivyoipata hyo picha picha aliamua kunipigia video call, alikua kajifunika shuka , nilimshawishi alitoe nimuone alivyoumbika , mama wa watu akajaa akajifunua nikaona kila kitu , sex ya simu ikafuata .Tulivyomaliza kuji save wenyewe tuliagana tukalala.

Kesho yake nilimuomba gemu akanambia atanipa baada ya mfungo kuisha , kuna siku namba ngeni ilinitafta whatsp kumbe alikuwa ni yeye .Alisema ameamua kutumia whatsp kwa ajili yangu.

Kila usiku ilikua ni mwendo wa video call,aisee nilikua naona mfungo unaenda taratibu ili tukulane.

Hayawi hayawi basi yakawa , ilikua ni wiki moja baada ya pasaka alinambia nimwambie mazingira ya home napoishi yapoje kwa maana anataka kunitembelea.

Nilimwambia akasema basi atakuja asubuhi ili jioni aende kwenye mambo yake.Wee sikuamini kama naenda kula mzigo tena mali safi.

Mmama wa watu alikuja mapema tu saa nne asubhi , siku hyo tuli sex sana , maana alikuwa na nyege pro max, tena badala ya kuondoka saa jioni , aliondoka saa nne usiku.

Huo ndo ukawa mwanzo wa penzi langu mimi na yeye rasmi.Kinacho fanya mpaka nizidi kumpeda kwanza hajawai niomba pesa , ana ni save sana pale napokwama .

Mimi mwanamke wangu nipo mbali naye huu mwezi wa kumi , sisemi kuwa ndo mara yangu ya kwnza ku cheat, ila kwa hili penzi la huyu Shangazi lina nifanya na msahau kabisa.hata niki sex na vibinti vingine siipati raha kama aliyo nayo huyu shangazi 😋

Kuingia nimeingia kama utani na nimeshindwa kutoka , yaani tokea nimekua naye napata sana tenda nahisi huyu katumwa na Mungu , sasa hivi penzi lilipofikia linaelekea kutokuwa la siri tena na tuko tayar kwa lolote.

Mwanamke wangu na mpenda ingawa yupo mbali lakin bado na future naye , lakni kwa huyu Mwana Mama nimedata.

Huyu Mama ana miaka 45 , Mama angu mzazi ana mzidi miaka mitano, na mimi ninaenda miaka 29.


kweli mapenzi hayachagui kwa kupenda.

Mwisho.
Mwanamke kukuzidi miaka 16 aweza kukuzaa, ni mamako huyo mheshimu sasa.

Kabla ya kumtia, ukikutana naye uwe unamzaba na lishokamoo kwanza, ingawa shugar mamies wengi hawapendi kuamkiwa hivyo.

Nakupongeza kwa kumpata mpenzi mnayependana kwa dhati ingawa mnajiiba.

Kwani umri huo hata kama utahitaji mtoto, kuzaa anazaa kama kawaida.

Ila kama ana mabinti wakubwa hapo nyumbani kwake, utapewa shikamoo ya bandia kwa kumuogopa mama yao, na asipokuwepo 'za sahizi' itakuhusu na jina lako kamili utaitwa bila kutanguliziwa title ya 'baba'.

usije ukawaforce adabu, sababu umewafanyia makusudi, maana wao ndiyo size yako.
 
Mwanamke kukuzidi miaka 16 aweza kukuzaa, ni mamako huyo mheshimu sasa.

Kabla ya kumtia, ukikutana naye uwe unamzaba na lishokamoo kwanza, ingawa shugar mamies wengi hawapendi kuamkiwa hivyo.

Nakupongeza kwa kumpata mpenzi mnayependana kwa dhati ingawa mnajiiba.

Kwani umri huo hata kama utahitaji mtoto, kuzaa anazaa kama kawaida.

Ila kama ana mabinti wakubwa hapo nyumbani kwake, utapewa shikamoo ya bandia kwa kumuogopa mama yao, na asipokuwepo 'za sahizi' itakuhusu na jina lako kamili utaitwa bila kutanguliziwa title ya 'baba'.

usije ukawaforce adabu, sababu umewafanyia makusudi, maana wao ndiyo size yako.
hapendi shikamoo anapenda mboo tu😂😂, ila mapenzi ni ufara sana
 
Back
Top Bottom