technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Pia Zimbabwe ya Mugabe itafika Tanzania!Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utalejea madarakani.
1: Uenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Uenda wanasiasa watakaopigwa marufuku kusafiri Marekani wakaongezeka na kuwa wengi 3: Uenda Uhusiano wetu na WB&IMF
Hakuna namna mkuu utawala huu usirudi madarakani. Wewe anza maandalizi ya saikolojia mapema. Sisi tunajiandaa kuendana nao na tuzidi kuneemeka shauri yako wewe.Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utalejea madarakani.
1: Uenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani. 2: Uenda wanasiasa watakaopigwa marufuku kusafiri Marekani wakaongezeka na kuwa wengi 3: Uenda Uhusiano wetu na WB&IMF ukawa kwenye msukosuko. 4: Uenda taifa likazidi kugawanyika kwa misingi ya kisiasa na kijamii. 5: Uenda bidhaa kutoka Marekani na ulaya zikawa adimu kutokana na vikwazo.
Ameshaenda kuwahi foleni ya buku 7 yake Lumumba maana siku imeshaingia tayari. Ni aghalabu kumpata muda huu humu jukwaani.
Wakupewa na polisi, au kukimbia na masanduku ya kura vichochoroni!Magufuli hata asipofanya kampeni ushindi ni 98%
Itategemea watarudi vipi madarakani, wakirudi kwa njia za kihuni kulazimisha ushindi watakiona cha mtema kuni, wanapiga kelele wanasahau bajeti yao mpaka leo inamtegemea beberu awajazie.
Wakupewa na polisi, au kukimbia na masanduku ya kura vichochoroni!
Magufuli hata asipofanya kampeni ushindi ni 98%
Mkuu Ccm ya sasa sio ya jana
Ccm inakubalika kuliko wakati wowote ule
Mbona jana tu yule mimacho kodo kasema amempigia beberu wa Ireland kuomba msaada. Huku wanawaita mabeberu huku wanatembeza bakuli. Na sasa mmeba bakuli mkuu ni KbudAcha iwe maana tunao uwezo wa kujifukiza bira msaada wa hao mabeberu
Kama inakubalika mbona mnahangaika sana na Chadema?!Mkuu Ccm ya sasa sio ya jana
Ccm inakubalika kuliko wakati wowote ule
cheerleaders wako busy kwenye keyboard wakati boss yuko busy kubuni madeni hewa.Hahah Chadema mkiwa nyuma ya keyboard mkwara sana