Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

Ni mufa muafaka wa kuwa na acc ya USD. Wachumi watanielewa nachomaanisha
 
Haa nimeota Tzs inashikiliwa na uzi kidogo uzi utadondoka au kukatika.Hamna hiki kipindi cha lala salama Magu atabadilika sana hamtategemea kabisa kwani hana cha kupokea 2030 hagombei tena na yatakuwa hayuko labda naota tu
 
Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utalejea madarakani.

1: Uwenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani.

2: Uwenda wanasiasa watakaopigwa marufuku kusafiri Marekani wakaongezeka na kuwa wengi

3: Uwenda Uhusiano wetu na WB&IMF ukawa kwenye msukosuko.

4: Uwenda taifa likazidi kugawanyika kwa misingi ya kisiasa na kijamii.

5: Uwenda bidhaa kutoka Marekani na ulaya zikawa adimu kutokana na vikwazo.

6: Natabiri pesa yetu kuporomoka kutokana na vikwazo vya kuuza nje.

7: Kuendelea kwa misuguano ya kisiasa kwa miaka 5 mpaka 2025 atimaye uchumi kuporomoka na kupoteza mwelekeo kabisa.

Ingawa bado kuna nafasi ya kurekebisha haya ila sioni utashi wa kisiasa wa utawala uliopo madarakani kubadilisha chochote.
Muulize Lumumba (professor wa Kenya) atakujibu kwa ufasaha
 
Inasikitisha tunaelekea Zimbabwe huku tunaona.uchumi hauchagui chama hata waliokuwa wakimpigia vigeregere ROBERT MUGABE walilia na kusaga meno
 
Watanzania au CHADEMA [emoji1787] mbona mnajilisha matango Ila ni kweli utawala huu ukiendelea kua madaraka mtapata tabu sana
Poleni sana Watanzania wote napenda kutoa angalizo kuwa hali itakuwa tofauti sana endapo utawala huu utarejea madarakani.

Kama ambavyo Marekani alishaonya kuhusu tume huru ya uchaguzi.

1: Huenda tukawekewa vikwazo vya kiuchumi hasa na taifa la Marekani.

2: Huenda wanasiasa watakaopigwa marufuku kusafiri Marekani wakaongezeka na kuwa wengi

3: Huenda Uhusiano wetu na WB&IMF ukawa kwenye msukosuko.

4: Huenda taifa likazidi kugawanyika kwa misingi ya kisiasa na kijamii.

5: Huenda bidhaa kutoka Marekani na Ulaya zikawa adimu kutokana na vikwazo.

6: Natabiri pesa yetu kuporomoka kutokana na vikwazo vya kuuza nje.

7: Kuendelea kwa misuguano ya kisiasa kwa miaka 5 mpaka 2025 atimaye uchumi kuporomoka na kupoteza mwelekeo kabisa.

Poleni sana, Uzuri vikwazo havitaangalia wewe ni CCM, CHADEMA, ACT, CUF, NCCR au TLP vitakuwa kwa wote endeleeni kuwashangilia watawala.

Ingawa bado kuna nafasi ya kurekebisha haya ila sioni utashi wa kisiasa wa utawala uliopo madarakani kubadilisha chochote.
 
Kwaio ambao hawato enda kupiga Kura ni sababu ya tume huru hahahahaha Ila chadema bana mnamatizo ya akili
Yes, 98% ila kwa wapiga kura wachache mno. Maana watakaoshiriki huo uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi, ni wazee na vijana wasiojitambua.
 
Back
Top Bottom