Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

Mkuu bila tume huru ya uchaguzi na katiba mpya CCM itakaa madarakani mpaka iseme basi
 
Mkuu, ebu rekebisha hapo kwenye heading, toa neno Kama
 
Na kama Katiba ingeruhusu JPM aingie ulingoni Kwa awamu tatu, na kuhakikishia mleta mada kuwa, Kwa Tanzania hii ukiiondoa CCM yenyewe, Hayupo mpinzani wa kumshinda huyu mtu, kwa mihula yoote hiyo
 
Na kama Katiba ingeruhusu JPM aingie ulingoni Kwa awamu tatu, na kuhakikishia mleta mada kuwa, Kwa Tanzania hii ukiiondoa CCM yenyewe, Hayupo mpinzani wa kumshinda huyu mtu, kwa mihula yoote hiyo
Porojo! kwanini hataki tume huru na katiba mpya kama ana uhakika wa kushinda?
 
Mind set mkuu ndio muhimu.Ugomvi na hao IMF,WB,na Marekani sio mara ya kwanza.Enzi za mbabe Raisi Reagan wa Marekani tulikoma hasa lakini Mungu mkubwa baadae busara ilitawala ndio maana tunaendelea kudunda.

2020 - 2025 adui wetu ni madhara ya uchumi yaliosababishwa na Covid-19.
Kwakuwa mataifa makubwa yamejeruhiwa vibaya sana kiuchumi na Covid-19, misaada ya kujikwamua kiuchumi itategemea vipaumbele tuliojiwekea na msimamo wa kisiasa.

Mataifa makubwa yatakuwa hayabembelezi wanaohitaji msaada kwani wenye shida watakuwa wengi.
Kupanga ni kuchagua.
 
Hapo ulipo agiza bia 2 au 3 au kunywa hata kreti nitalipa Mimi
 
Porojo! kwanini hataki tume huru na katiba mpya kama ana uhakika wa kushinda?
Mkuu, hili la Tume huru Kwanza sio hisani kutoka mtu,

Pili, ulishawahi kujiuliza, Tume inapaswa Iweje, iwe huru kivipi, Kwa nini iliyopo ambayo si huru ilitangaza wabunge zaidi 100 na... Kutoka upinzani, hii ilikuweje,

La msingi kabisa labda ni matokeo kuhojiwa mahakamani hapo Sawa, Ila hili lingine la Tume sjui huru ni porojo na kisingizio kisicho na maana
 
Nitaanzisha thread itakayounganisha vitisho kibao vinavyotolewa humu kisha nitakuwa nawakumbusha mara kwa mara muone mmefikia wapi. Nitaanza na;
i) Tanzania kushtakiwa MIGA - Tundu Lissu
 
Of course. Tena tujiandae kutokuweka utajiri kwenye shilling. Utakuja kufa kwa pressure.
 
Huu utawala unarudi , tujipange kiuchumi na kisaikolojia

sent from HUAWEI
 
Tume muundo wake umeelezwa vizuri uweje kwenye katiba ya warioba ambayo imelaliwa mpaka leo licha ya kuwa tayari?
 
Kwa hiyo tuweke utawala upi hapo october ili kuhakikisha 2020-2025 hayo yote yasitokee?
 
Itategemea watarudi vipi madarakani, wakirudi kwa njia za kihuni kulazimisha ushindi watakiona cha mtema kuni, wanapiga kelele wanasahau bajeti yao mpaka leo inamtegemea beberu awajazie.
Ukweli ni kwamba mwaka huu mmeshapotea sana tu ,nyie october pambanieni viti vya udiwani na ubunge ! Urais msiwe na habari nao kabisa,mtatia aibu tu!.
 
Jifunze kuandika kwanza halafu ndo uje.UWENDA ni kiswahili cha nchi gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…