Kama utawala huu utarudi madarakani 2020-2025 basi watanzania tujiandae kisaikolojia

Ni mufa muafaka wa kuwa na acc ya USD. Wachumi watanielewa nachomaanisha
 
Haa nimeota Tzs inashikiliwa na uzi kidogo uzi utadondoka au kukatika.Hamna hiki kipindi cha lala salama Magu atabadilika sana hamtategemea kabisa kwani hana cha kupokea 2030 hagombei tena na yatakuwa hayuko labda naota tu
 
Muulize Lumumba (professor wa Kenya) atakujibu kwa ufasaha
 
Inasikitisha tunaelekea Zimbabwe huku tunaona.uchumi hauchagui chama hata waliokuwa wakimpigia vigeregere ROBERT MUGABE walilia na kusaga meno
 
Watanzania au CHADEMA [emoji1787] mbona mnajilisha matango Ila ni kweli utawala huu ukiendelea kua madaraka mtapata tabu sana
 
Kwaio ambao hawato enda kupiga Kura ni sababu ya tume huru hahahahaha Ila chadema bana mnamatizo ya akili
Yes, 98% ila kwa wapiga kura wachache mno. Maana watakaoshiriki huo uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi, ni wazee na vijana wasiojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…