Kama Vera Sidika kawa hivi, mpango ushafeli

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie maisha yanaenda kasi sana.
Yaani sasa hivi ninatako kumshinda Vera [emoji571]‍[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutesa kwa zamu Odo....
 
Hii kitu inawezekana ni Photoshoot,Clout Chasing au Bwana ake anatoa wimbo maana Wasanii wanatabia za kuchocha sana[emoji2]

Na kama ni kweli basi nimpe pole na nimpongeze kwa kuwa mkweli..

Wamama/wadada tuna la kujifunza kwenye hili...
Yaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.
Wakati mpaka amemaliza chuo kikuu tako hana sema ana mahipsi tu.
Kila nikikutana namuuliza we hili tako umetoa wapi?
Ananiambia amerithi kutoka kwa marehemu bibi yake mzaa baba.
Ila mimi najua ni dizaini ya kina Vera sababu anapenda sana wasanii.
Wasanii wenyewe wanamdanga badala ya yeye awadange.
Anapenda kuwa na jina mjini.
 
Naye yasije kumpata yaliyompata Vera[emoji28]

Ila Vera anasema ni moja ya complications alizopata baaday ya kujifungua...

Sijui kwanini nimekuwa mgumu sana kuamini kama hii kitu ni kweli.
 
Cha msingi huyo dada amekiri mwenyewe kuwa kufanya surgery kuongeza urembo ni upuuzi anaojutia na anawasihi wadada wengine wasithubutu kufanya surgery kisa urembo wa kipumbavu kabisa.

na unafikiri watamuelewa? yeye kapiga hela zakutosha kwahiyo shape ya bandia
 
Yaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.
Wakati mpaka amemaliza chuo kikuu tako hana sema ana mahipsi tu.
Kila nikikutana namuuliza we hili tako umetoa wapi?
Ananiambia amerithi kutoka kwa marehemu bibi yake mzaa baba.
Ila mimi najua ni dizaini ya kina Vera sababu anapenda sana wasanii.
Wasanii wenyewe wanamdanga badala ya yeye awadange.
Anapenda kuwa na jina mjini.

Maisha nayo vipi ameshayapatia?
 
Mimi kwa kweli nimevurugwa, Bado sijaamini na kama ni kweli, lazima ni mu unfollow kwenye social media zote.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie maisha yanaenda kasi sana.
Yaani sasa hivi ninatako kumshinda Vera [emoji571]‍[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom