[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie maisha yanaenda kasi sana.
Yaani sasa hivi ninatako kumshinda Vera [emoji571][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Yaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.Hii kitu inawezekana ni Photoshoot,Clout Chasing au Bwana ake anatoa wimbo maana Wasanii wanatabia za kuchocha sana[emoji2]
Na kama ni kweli basi nimpe pole na nimpongeze kwa kuwa mkweli..
Wamama/wadada tuna la kujifunza kwenye hili...
Kabisa odo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutesa kwa zamu Odo....
Naye yasije kumpata yaliyompata Vera[emoji28]Yaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.
Wakati mpaka amemaliza chuo kikuu tako hana sema ana mahipsi tu.
Kila nikikutana namuuliza we hili tako umetoa wapi?
Ananiambia amerithi kutoka kwa marehemu bibi yake mzaa baba.
Ila mimi najua ni dizaini ya kina Vera sababu anapenda sana wasanii.
Wasanii wenyewe wanamdanga badala ya yeye awadange.
Anapenda kuwa na jina mjini.
Cha msingi huyo dada amekiri mwenyewe kuwa kufanya surgery kuongeza urembo ni upuuzi anaojutia na anawasihi wadada wengine wasithubutu kufanya surgery kisa urembo wa kipumbavu kabisa.
Yaani nina ndugu yangu mmoja ana tako Vera akasome.
Wakati mpaka amemaliza chuo kikuu tako hana sema ana mahipsi tu.
Kila nikikutana namuuliza we hili tako umetoa wapi?
Ananiambia amerithi kutoka kwa marehemu bibi yake mzaa baba.
Ila mimi najua ni dizaini ya kina Vera sababu anapenda sana wasanii.
Wasanii wenyewe wanamdanga badala ya yeye awadange.
Anapenda kuwa na jina mjini.
Aaaaa wapi hajayapatia.Maisha nayo vipi ameshayapatia?
Aaaaa wapi hajayapatia.
Ana kazi ya kuyarekodi makalio whatsapp na instagram.
Insecurity zenu.Ila shida zote hizi mmezitaka wanaume na demands zenu,wanawake wanahangaika sana.
Connection na hela.
Mkono mtupu haulambwi anasbo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hayo mambo madogo tu, tuanze na instapage yake tumuone vizuri basi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie maisha yanaenda kasi sana.
Yaani sasa hivi ninatako kumshinda Vera [emoji571][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ni kik tu alitakaNaye yasije kumpata yaliyompata Vera[emoji28]
Ila Vera anasema ni moja ya complications alizopata baaday ya kujifungua...
Sijui kwanini nimekuwa mgumu sana kuamini kama hii kitu ni kweli.
Anaweka mali sokoni mwenzio atatoka tu one dayAaaaa wapi hajayapatia.
Ana kazi ya kuyarekodi makalio whatsapp na instagram.
Nilijua tu ni kiki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nusu nikutongoze ,dah umeokoa hela zanguWacha tubaki na flat zetu, kwanza ni mizigo hiyo ukizeeka
Sura hata mbuzi anayo Ila thathaaaa wowowoAsitegemee madili makubwa makubwa kumfata, hakuna kitu kinaitwa kuwa na nyota, kuna mpango, ama ikufate moja kwa moja au uifate!
View attachment 2378002View attachment 2378001
Dada kalipunguze na wewe.Aisee