Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaNi wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.
Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.
Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.
Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.
Lucas Mwashambwa atasema wewe ni chawa wa Mboe!Ni wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.
Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.
Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.
Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.
Kisayansi Mbowe kafunga hesabuMbowe ataliwa hela zake tu
Mfumo umeshaamua TAL aongoze Chadema Ili kulituliza Moja Takatifu La Mitume 😂😂😂
Chinembe mambo ya Mjini ni tofauti sana na huko kwenu migombani, huku Mfumo unakwenda na matakwa ya dunia
Siasa ni Sayansi
Ligi ya Wakwe 😂😂😂😂
Imeshaamuliwa na Kanisa 😂😂Kisayansi Mbowe kafunga hesabu
Kwamba katoliki wameteka CCM, sasa wanataka kuiteka Chadema kwa sababu ilianzishwa na watu wenye asili ya KKKT? Na kwamba Lissu ni katoliki? Wamempa na hela za kampeni? Vyama vyote viwe pro Vatican? Basi ndio maana Kitima na Lissu wako mguu kwa mguu, na kanisa like bize kumtukana Samia, kumbe udiniImeshaamuliwa na Kanisa 😂😂
Dah, chadema mko vizuri kukataa watu!!..mara!?Ni wazi Lissu hana base kubwa ya uhakika ndani ya chama.
Lissu anaweza kuwa na mashabiki wengi nje ya chama ikiwemo hapa JF.
Lissu ni shujaa wa kukurupuka week 3 nyuma alikuwa anataka nafasi ya Makamu ghafla bila tafakari anagombea nafasi ya Mwenyekiti.
Lissu zaidi ya kupigwa risasi 16 hana maajabu yoyote.
Papa kawakataza kujihusisha na siasa,cuf ilipokua juu hawakulala madhabahuni,wakihofia ingebeba nchi halafu mirija yao hazina ingekuaje!?Kwamba katoliki wameteka CCM, sasa wanataka kuiteka Chadema kwa sababu ilianzishwa na watu wenye asili ya KKKT? Na kwamba Lissu ni katoliki? Wamempa na hela za kampeni? Vyama vyote viwe pro Vatican? Basi ndio maana Kitima na Lissu wako mguu kwa mguu, na kanisa like bize kumtukana Samia, kumbe udini
Mbona unakua waste sperm?.Kwamba katoliki wameteka CCM, sasa wanataka kuiteka Chadema kwa sababu ilianzishwa na watu wenye asili ya KKKT? Na kwamba Lissu ni katoliki? Wamempa na hela za kampeni? Vyama vyote viwe pro Vatican? Basi ndio maana Kitima na Lissu wako mguu kwa mguu, na kanisa like bize kumtukana Samia, kumbe udini
Ina maana kweli wewe ni think Tank ya nchi unaweza kuestablish with u doubt fact kwamba siku Fulani Kanisa kupitia mtu Fulani lilitoa matusi yafuatayo kwa Rais?Ndio, kama hujui hilo basi kichwani huna ubongo, una samadi