Kama viongozi wenu wanalemba, Nyie Bavicha mnashindwaje kuwaonya hao vijana wenzenu machawa wa Mbowe ndani ya CHADEMA?

Kama viongozi wenu wanalemba, Nyie Bavicha mnashindwaje kuwaonya hao vijana wenzenu machawa wa Mbowe ndani ya CHADEMA?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,283
Reaction score
23,443
Nimeshaandika mara kibao!

Chadema wale vijana wa mbowe wamepewa kazi kuuhujumu uongozi wa lissu.

BAVICHA Mnalemba nini kuwaonya hawa vijana wenzenu?
Yericko Nyerere, Nchome, Ntobi walitakiwa wawe wameshashika adabu mpaka muda huu!

Habari nilizopokea za maagizo ya hao vijana zitakichafua chama chenu.
 
Tunajua kila kitu na tunawadhibiti kimyakimya bila kelele
 
Back
Top Bottom