Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks in advance mkuu ila hao watu ni balaa utafikili walizaliwa na mpira. Alafu uyo ramadhani ngoda ndo nilikuwae natafuta jina lake. Kama kuna mtu anajucha vipaji pale azam tv basi apewe heshima take.pascal kabombe, hashim ibwe, james samwel na ahmed abdallah walikuwa recruited kupitia shindano la kusaka vipaji waliloandaa wao wenyewe azamtv kati ya mwaka 2014 au 2015.baada ya hapo uongozi wa azam tv ukawapa ajira moja kwa moja.
ramadhan ngoda na baraka mpenja hawa waliajiriwa na azam tv baada tu ya kuhitimu masomo yao udsm.
Mkuu kama upo kitengoni?ila anyway yule Amed abdalah nikipenzi cha wadada.pascal kabombe, hashim ibwe, james samwel na ahmed abdallah walikuwa recruited kupitia shindano la kusaka vipaji waliloandaa wao wenyewe azamtv kati ya mwaka 2014 au 2015.baada ya hapo uongozi wa azam tv ukawapa ajira moja kwa moja.
ramadhan ngoda na baraka mpenja hawa waliajiriwa na azam tv baada tu ya kuhitimu masomo yao udsm.
hapana mkuu, sipo kitengoni.Mkuu kama upo kitengoni?ila anyway yule Amed abdalah nikipenzi cha wadada.
Hahahaa,, hili goli lilikuwa tamu sana na mtangazaji alinogesha sana kwa namna alivyotangaza,,, nakumbuka ilikuwa 31st Dec 2017 Ndala akifa goli 2 mbele ya Mbaoha ha utangazi goli kwangu la wakati wote ni ile baraka mpenja anatamgaza goli la mbao dhidi ya yanga
"emanuel vyenkule anamuwekea habibu haji kiombo anamwambia chukua hio mwanangu Habibu haji kyoomboooo! happy new year happy new year wasukuma wanasema waveja kulumba waveja kulumba"
ha ha iliku raha sana siku ile
Hii game niliitizama live uwanja wa ccm kirumba mwanza, aisee nilifurahi sana.Hahahaa,, hili goli lilikuwa tamu sana na mtangazaji alinogesha sana kwa namna alivyotangaza,,, nakumbuka ilikuwa 31st Dec 2017 Ndala akifa goli 2 mbele ya Mbao
ha ha pascal kabombe huyooFeiiiii totoooooo......
Azigizigiiiiiiii.......sijiu sauti ya nani
Siku nyingine jitahidi kuandika basiNikili wazi kabisa mm ni mfatiliaji wa mechi wanazolusha azam tv iwe ligi ya spain, ligi kuu tanzania bara au mechi za CAF kiukweli kabisa wamejaliwa watangazi wazuri wa mpira.
Mwanzoni wakati wanaanza walikuwa na baruani muhuza huyu alitokea star tv na sasa hv ni mkurugenzi mkuu wa michezo pale azam tv. Nikili kabisa kwamba sasa hivi jamaa kawafunza watu kutangaza mpira japo kuwa yeye kumsikia anatangaza mpira na charles illay ni mala chache sana.
Kuna mutu anaitwa barak mpenja a.k.a sauti ya radi, hashimu inbwe, Kuna mwingine anajiita Mtanzania na mwana afrika mashariki, na kuna uyu katangaza mechi ya mwadui na yanga juzi juzi na jumapili katangaza mechi ya kagera sukari na yanga aisee yule jamaa ni kiboko. Mpenja anajua historia ya kila mchezaji na kila timu ata iwe ya dalaja la kumi.
Mungu ibariki azamu tv kwa kutuba burudani shadida maana afrika Mashariki na kati sijui kama kuna kituo cha tv kama azam.
Andika kwa ufasaha,lafudhi gani hiyo au umetoka kanda ya ziwaNikili wazi kabisa mm ni mfatiliaji wa mechi wanazolusha azam tv iwe ligi ya spain, ligi kuu tanzania bara au mechi za CAF kiukweli kabisa wamejaliwa watangazi wazuri wa mpira.
Mwanzoni wakati wanaanza walikuwa na baruani muhuza huyu alitokea star tv na sasa hv ni mkurugenzi mkuu wa michezo pale azam tv. Nikili kabisa kwamba sasa hivi jamaa kawafunza watu kutangaza mpira japo kuwa yeye kumsikia anatangaza mpira na charles illay ni mala chache sana.
Kuna mutu anaitwa barak mpenja a.k.a sauti ya radi, hashimu inbwe, Kuna mwingine anajiita Mtanzania na mwana afrika mashariki, na kuna uyu katangaza mechi ya mwadui na yanga juzi juzi na jumapili katangaza mechi ya kagera sukari na yanga aisee yule jamaa ni kiboko. Mpenja anajua historia ya kila mchezaji na kila timu ata iwe ya dalaja la kumi.
Mungu ibariki azamu tv kwa kutuba burudani shadida maana afrika Mashariki na kati sijui kama kuna kituo cha tv kama azam.
ulichokisema ni kweli kabisa wale wajinga wakiendelea kulemba kama vile wanacheza na mafaluhande baada ya mechi tutapoteanaKaka upoo, umepotea mechi yetu na kagera hukutuletea updates, Ila kesho mkicheza kimazoea mnapigwa za uso. Mwambie MK 14 kesho asilembe wala kuficha jicho maana jamaa nao wako njema hatari