Kama vipaji vya kutangaza mpira azam tv mnajua kufanya vetting.

Thanks in advance mkuu ila hao watu ni balaa utafikili walizaliwa na mpira. Alafu uyo ramadhani ngoda ndo nilikuwae natafuta jina lake. Kama kuna mtu anajucha vipaji pale azam tv basi apewe heshima take.
 
Mkuu kama upo kitengoni?ila anyway yule Amed abdalah nikipenzi cha wadada.
 
Binafsi wananifurahisha wanavyotamka timu ya wananchi mara kwa mara wakimaanisha Yanga afrika,maana kuna kijitimu kinataka kuliiba hili jina
 
Mkuu kama upo kitengoni?ila anyway yule Amed abdalah nikipenzi cha wadada.
hapana mkuu, sipo kitengoni.
mimi ni shabiki tu wa hao watangazaji kama wewe.

huwa nawafatilia sana kwenye mitandao ya kijamii, navutiwa sana na utangazaji wao.
 
Hahahaa,, hili goli lilikuwa tamu sana na mtangazaji alinogesha sana kwa namna alivyotangaza,,, nakumbuka ilikuwa 31st Dec 2017 Ndala akifa goli 2 mbele ya Mbao
 
wapo vizuri azam sasa hivi ila mwwnzoni walikua wanatia aibi sema kwasabbu ndio tv pekee iliyosajiriwa kwa ajiri ya michezo ndio maana wanakaza wafike mbali
 
Hashim Ibwe, Baraka Mpenja, Pascal Kabombe huwa wananifutia sana,kwa kifupi watangazaji wao wa soka wako vizuri mno.
 
Hahahaa,, hili goli lilikuwa tamu sana na mtangazaji alinogesha sana kwa namna alivyotangaza,,, nakumbuka ilikuwa 31st Dec 2017 Ndala akifa goli 2 mbele ya Mbao
Hii game niliitizama live uwanja wa ccm kirumba mwanza, aisee nilifurahi sana.
 
Siku nyingine jitahidi kuandika basi
 
Andika kwa ufasaha,lafudhi gani hiyo au umetoka kanda ya ziwa
 
Pale Azam labda balwani tu hawa waking mpenja wamezidisha mahaba na timu
 
Kaka upoo, umepotea mechi yetu na kagera hukutuletea updates, Ila kesho mkicheza kimazoea mnapigwa za uso. Mwambie MK 14 kesho asilembe wala kuficha jicho maana jamaa nao wako njema hatari
ulichokisema ni kweli kabisa wale wajinga wakiendelea kulemba kama vile wanacheza na mafaluhande baada ya mechi tutapoteana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…