Zalan. Angewafikisha Bali .....coz alikuwa anapenda mpira wa Kasi ......Hata Sie Unaotuuliza Hatujui....! Huwezi Kujua labda Badala yake pengine Angekuwepo 'Zalani' ...! Maana Ya Mungu Mengi..!
Ila Huyu jamaa haya 'Machejo' yake Kiboko...! Kiuno Binuuuuuu
Toa viper weka Alhal au Mamelod bado Mnyama angetoboa hatajaanza makundi magumu leoBaada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili
Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa timu Moja ( kibonde) magoal yenyew Sasa .....
Mfano
Al hilal kapata point Kwa timu tofauti
Raja
Esperence nk
Swali:
Je! Kama vipers wasinge kuwepo kwenye lile kundi simba angekua na point ngap??View attachment 2544274
Je kama yanga wasingeanza na zalan fc kwenye champions league wangekuwa wapi mda huu kumbuka vipers kamtoa mazembe.Baada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili
Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa timu Moja ( kibonde) magoal yenyew Sasa .....
Mfano
Al hilal kapata point Kwa timu tofauti
Raja
Esperence nk
Swali:
Je! Kama vipers wasinge kuwepo kwenye lile kundi simba angekua na point ngap??View attachment 2544274
Huu ujuha huu? Kwanini mnakuwa na negative thinking? Unawaza kinyumenyume sijui kwanini. Mbona hujawaza iwapo isingekuwa Zalan fc kama Yanga ingefika hapo.Baada ya kufanya uchambuzi wa mechi za CAF zinazoendelea nimekuja kupata swali hili
Japo kolo anacheza CAF champions ( wanasema Kuna ugumu) lkn sio kigezo Cha timu kubwa kupata point zote Kwa timu Moja ( kibonde) magoal yenyew Sasa .....
Mfano
Al hilal kapata point Kwa timu tofauti
Raja
Esperence nk
Swali:
Je! Kama vipers wasinge kuwepo kwenye lile kundi simba angekua na point ngap??View attachment 2544274
Kama madini basi haya ni chumvi tu coz naskia nayo ni madini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha makasiriko Mzee......pitia madini haya