Kama Vipers wasingekuwepo kwenye lile kundi Simba angekuwa na pointi ngapi?

Kama Vipers wasingekuwepo kwenye lile kundi Simba angekuwa na pointi ngapi?

Je kama yanga wasingeanza na zalan fc kwenye champions league wangekuwa wapi mda huu kumbuka vipers kamtoa mazembe.
Tupo na kesi ya Simba...siyo yanga
 
Huu ujuha huu? Kwanini mnakuwa na negative thinking? Unawaza kinyumenyume sijui kwanini. Mbona hujawaza iwapo isingekuwa Zalan fc kama Yanga ingefika hapo.
Hapana mkuu...hii ni hatua ya makundi
 
Yanga asinge pangwa na al hilal angebaki klabu bingwa
ni vile tu alipangwa na al hilal

Mijitu mingine bana halijui hata mambo ya mpira linaleta ushabiki
ni bora ukae kimya na sio kuleta nyuzi zenye kinyaa
na hii ndio sababu yanga mnaonekanaga hamjielewi
usifanye na wana yanga wengine waonekane wehu kama wew
Nadhani umeona moto wa Al hilal pale group la kifo

Al hilal anangoza group mbele ya mamelod

Al ahly

Cotton sports
 
Nadhani umeona moto wa Al hilal pale group la kifo

Al hilal anangoza group mbele ya mamelod

Al ahly

Cotton sports
Kwa hiyo baada ya kuuona moto wa Al Hilal umefurahi sana kwa kuwa aliifunga na kuifurusha utopolo kwenye Champions league?

Unamwita kibonde vipers wakati aliwachapa utopolo united kwenye siku zenu goli 2 bila.

Very foolish premises!
 
1. Haikuwa mechi ya kiushindani hivyo hatuku concentrate sana


2. Ilikua na Kikosi kikali sio kama hiki Cha butua butua- mlichokutana nacho
Maana yake hata mazembe mmeikuta dhohofu, tofauti na hapo hamna uwezo wa kuwafunga.
 
Hapana Mzee ujitafakari

Weakness

Opportunity

Strength
Yaani hayo matumizi ya inge...yanaonesha kuwa wewe ni mtu wa kubahatisha mambo, hujiamini. Ukishapoteza ndiyo imekwisha hiyo. Hapo ni kujipanga upya ili usiyarejee makosa yale yale yaliyokukwamisha.
 
Hawa ndo wale wanajiuliza asingezaliwa na jinsia aliyo nayo ingekuwaje.
Jambo limeshakuwa historia isiyobadilika ila ubongo unalazimisha kulibadili.
 
Hawa ndo wale wanajiuliza asingezaliwa na jinsia aliyo nayo ingekuwaje.
Jambo limeshakuwa historia isiyobadilika ila ubongo unalazimisha kulibadili.
Tatizo tunawaomea huruma. .....then tunataka mkaze
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom