Nadhani umeona moto wa Al hilal pale group la kifoYanga asinge pangwa na al hilal angebaki klabu bingwa
ni vile tu alipangwa na al hilal
Mijitu mingine bana halijui hata mambo ya mpira linaleta ushabiki
ni bora ukae kimya na sio kuleta nyuzi zenye kinyaa
na hii ndio sababu yanga mnaonekanaga hamjielewi
usifanye na wana yanga wengine waonekane wehu kama wew
Kwani mara ngapi tumewachapa? Simba sio chura ujueLabda mngetoboa pua
Kwa hiyo baada ya kuuona moto wa Al Hilal umefurahi sana kwa kuwa aliifunga na kuifurusha utopolo kwenye Champions league?Nadhani umeona moto wa Al hilal pale group la kifo
Al hilal anangoza group mbele ya mamelod
Al ahly
Cotton sports
Maana yake hata mazembe mmeikuta dhohofu, tofauti na hapo hamna uwezo wa kuwafunga.1. Haikuwa mechi ya kiushindani hivyo hatuku concentrate sana
2. Ilikua na Kikosi kikali sio kama hiki Cha butua butua- mlichokutana nacho
Wanakutisha wewe na utopolo wenzioMAZEMBE wanatisha mzee
Yaani hayo matumizi ya inge...yanaonesha kuwa wewe ni mtu wa kubahatisha mambo, hujiamini. Ukishapoteza ndiyo imekwisha hiyo. Hapo ni kujipanga upya ili usiyarejee makosa yale yale yaliyokukwamisha.Hapana Mzee ujitafakari
Weakness
Opportunity
Strength
kama ! π π πSwali:
Je! Kama vipers wasinge kuwepo kwenye lile kundi simba angekua na point ngap??