Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Mambo yanayoendelea Tanzania hayajengi uoga kwa Watanzania kama mnavyodhani, bali yanajenga usugu. Usugu huu unazaa kiburi kwa wananchi. Kiburi kitazaa dharau kwa Jeshi la Polisi na wananchi, na hatimaye dharau hizo zitaelekea kuzaa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Nadhani CCM mnataka tufike hapa, na hakika tutafika—ni suala la muda. Viongozi wa Tanzania wanaheshima ndogo sana kwa wananchi, na hili ni tatizo kubwa. Heshima ya Ruto kwa raia wake na jeshi lake haikutoka mbinguni bali ilitengenezwa kwa damu kumwagika. Hili ndilo mnaloonekana kutaka kufanikisha.
Samia anaonekana kuwa mkali zaidi kuliko JPM. Kama kweli Samia huusiki na huu utekaji na mauaji unaoendelea Tanzania, basi tafadhali simama uhesabiwe.
Simama uhesabiwe na utamke maneno yafuatayo mbele ya umma wa Watanzania:
"Mimi Samia Suluhu Hassan, mzaliwa wa Kizimkazi, ambaye nimepewa bahati ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sihusiki kwa namna yoyote na mauaji au utekaji. Jeshi ninaloliongoza na usalama wa nchi hawahusiki na vitendo hivi vya utekaji. Wananchi wanaohusika na matukio haya, ninawaamrisha muwavamie hao watu. Mwenye kisu na atumie, mwenye panga na atumie, mwenye jiwe na atumie. Vamieni hilo gari, muliharibu, toboeni kila kitu na muwakamate hao watu, ikiwa ni pamoja na kuwajeruhi. Watanzania, msibaki kushangaa haya matukio; ingilieni kati na muwajeruhi ili tuwatambue wahusika. Jeshi la Polisi limethibitisha kushindwa kusimamia haya mambo na limebaki kuwa watoa taarifa na matangazo badala ya kuwa taasisi ya kuzuia uhalifu."
Kama Samia usipotamka haya maneno, nitakuwa na hakika kuwa, kama nilivyokuwa na hakika kuhusu mauaji na utekaji yaliyoendelea chini ya JPM, basi haya yanayoendelea sasa yana baraka zako. Ikiwa hivyo, basi wewe hufai kuwa Rais wa Tanzania.
Kama taifa, hatuwezi kuwa na Rais anayeonyesha kushindwa kusimamia usalama wa ndugu zetu. Soka hajulikani alipo, Kibao aliuawa waziwazi, Ben Saane mmemshambulia waziwazi, na Lissu mmemfanya kilema cha maisha huku mkimsubiri kwa maangamizi zaidi.
Je, mnawezaje kuchukua kitu ambacho ninyi wenyewe hamuwezi kukitoa?
Tafakari.