Yeye ndio mfariji mkuu, ataunga hayo mambo ya utekaji?
Hajawahi kuwa mfariji ! Tatizo lenu watanzania ni low minded sana hamko na intelligence……ile mnayopata kwa wazazi wenu… ile ya kunyonya two years…kile kipindi cha miaka 2 kunyonya ni muhimu sana na ndio kipindi pekee unacho build intelligence ya binadamu…… watanzania wengi hamjanyonya two years consecutively na baadhi yenu mmezaliwa njiti au kubemendwa that is why watanzania wengi intelligence ipo chini sana
That is why hata kwenye critical issue za nchi watu wataleta siasa na uchawa… and for as long as jambo haliwahusu…. Ndio kabisa
Wakati ngosha anawapiga spana kina lissu…. Watanzania waliona kina lissu ni wakorofi…. Alipoanza kuwapiga spana hadi CCM ndio mkaanza kustuka…. Yupo yule waziri alitolewa bastola na kuanza kulia lia… oooh nimekipigania chama na blah blah nyingi….. hi ni ishara low inteligence kwa watizedi
Ameuliwa kibao Kila mtu keshasahau, lakini kwenye familia ya kibao kuna scar halitopona
Kauliwa ben tume kaa kando
soka kapotea tupo kando
Lisu was almost dead tupo kando
……,, you name the list
How long shall they kill our prophets while we stand aside and Watch ….. Bmarley
Jeshi la polisi linaendesha ulinzi wetu kama siasa na wao kuna asilimia kubwa ni wahusika
Polisi watanzania ni ma gang , wahuni, wezi na wavuta bangi most of them… wezi wakubwa wanashirikiana na hao wao
Reform kwenye jeshi la polisi ni LAZIMA,
I wish nchi iwe chini ya Jeshi kwanza tujenge heshima kama Taifa
CCM Imeshindwa na Jeshi la Polisi limeshindwa
Jeshi la Wananchi ndio the only Hope for now , otherwise tunapoelekea Amani itatoweka , amani ikipotea kuirudisha ni process kama ilivyo kuondoa amani ni process ambayo CCM na jeshi la polisi na kitengo cha utekaji kinafanya
Mkuu wa nchi anasema kifo ni kifo, yet kuna kiazi mmoja hana future anakwambia yeye ni mfariji
Low intelligence