johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana
Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro
Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi mlikuwa wapi kutetea ipatikane Nuru
Mbona mzee Membe alikuwa Jasiri kujitetea katiba mbele ya Magufuli Bila Uoga
Tuwe wakweli Tanzania hatuna Upinzani na Watoto wetu wanapoteza muda bure kushabikia huu upuuzi
Huwezi Kuwa na Wapinzani legelege wanaoshindwa kuisema Serikal kwa wakati sahihi wanamsubiri Kiongozi astaafu au afe ndio waanze kumshambulia
RIP Magufuli
RIP Maalim Seif