Kama Vyama vya Upinzani kazi yao ni kumsifia na kumuogopa Rais akiwa madarakani na kumshambulia akishakufa, vifutwe tu havitusaidii chochote!

Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana

Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro

Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi mlikuwa wapi kutetea ipatikane Nuru

Mbona mzee Membe alikuwa Jasiri kujitetea katiba mbele ya Magufuli Bila Uoga

Tuwe wakweli Tanzania hatuna Upinzani na Watoto wetu wanapoteza muda bure kushabikia huu upuuzi

Huwezi Kuwa na Wapinzani legelege wanaoshindwa kuisema Serikal kwa wakati sahihi wanamsubiri Kiongozi astaafu au afe ndio waanze kumshambulia

RIP Magufuli

RIP Maalim Seif
Mbona unawashambulia wapinzani unaosema ilitakiwa waondoe giza na dhulma peke yao,

CCM walioleta giza .mbona huwashambulii kwa kusababisha hali hiyo?

Je unakubali kuwa tulikuwa na miaka saba ya giza?

Nani yuko tayari kupata ulemavu, au kuuwawa kisa kukutetea mtu mnafiki kama wewe,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
KILA mtza anajua tulipopitia, vyama vya upinzani havina haja ya kutukumbusha yaliyopita, muhimu vitangaze sera zao. Na haviwezi kuwa na nguvu kwa sasa kwa sababu havibanwi.
 
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana

Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro

Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi mlikuwa wapi kutetea ipatikane Nuru

Mbona mzee Membe alikuwa Jasiri kujitetea katiba mbele ya Magufuli Bila Uoga

Tuwe wakweli Tanzania hatuna Upinzani na Watoto wetu wanapoteza muda bure kushabikia huu upuuzi

Huwezi Kuwa na Wapinzani legelege wanaoshindwa kuisema Serikal kwa wakati sahihi wanamsubiri Kiongozi astaafu au afe ndio waanze kumshambulia

RIP Magufuli

RIP Maalim Seif
Mh Tundu kujaribu kufichua ufisadi wa Jiwe alimtwanga risasi kadhaa...wewe kenge unataka ujasiri waina gani???Membe kuporwa tuu tupesa twakuipaisha ACT wasaliti alitulia kama kaburi la shujaa mavi wenu
 
Havina sera yoyote

Katiba mpya iko kwa mzee Wassira na Komredi Kinana
 
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana

Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro

Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi mlikuwa wapi kutetea ipatikane Nuru

Mbona mzee Membe alikuwa Jasiri kujitetea katiba mbele ya Magufuli Bila Uoga

Tuwe wakweli Tanzania hatuna Upinzani na Watoto wetu wanapoteza muda bure kushabikia huu upuuzi

Huwezi Kuwa na Wapinzani legelege wanaoshindwa kuisema Serikal kwa wakati sahihi wanamsubiri Kiongozi astaafu au afe ndio waanze kumshambulia

RIP Magufuli

RIP Maalim Seif
Jo tunajua sii maneno yako ila maneno ya uchawa,juhudi zilizofanyika kwa damu na jasho,binafsi hukuziona na kamwe hutakaaa uzione ,kwani ukishakuwa mwanachukua chako mapema,unageuka kuwa kipofu,na kamwe huwezi kuona tena.,🤔
 
Mh Tundu kujaribu kufichua ufisadi wa Jiwe alimtwanga risasi kadhaa...wewe kenge unataka ujasiri waina gani???Membe kuporwa tuu tupesa twakuipaisha ACT wasaliti alitulia kama kaburi la shujaa mavi wenu
Tundu Lisu huyu huyu wa NAULI!
 
Whatever upinzani, ngoja Magufuli afe kama alivyowaua binadamu wasio na hatia. hata wangelikuwa na hatia, kuna mahakama na taratibu zingine tulizojiwekea kwa kukubaliana
Mkuu mbona una jazba sana😂😂

Anyway, wote lazima tutakufa tu no matter what. Kauli yako haimkomoi marehemu ilhali nawe muda wako utafika
 
Jo tunajua sii maneno yako ila maneno ya uchawa,juhudi zilizofanyika kwa damu na jasho,binafsi hukuziona na kamwe hutakaaa uzione ,kwani ukishakuwa mwanachukua chako mapema,unageuka kuwa kipofu,na kamwe huwezi kuona tena.,🤔
Moja wapo ya takataka zilizopo Lumumba ni johnthebaptist , utanisamehe John! bahati mbaya uko hivyo and this is comming from my conviction!
 
Waoga wakubwa nyie
Maisha , uhai havina mbadala, lazima kuchukua tahadhali! magufuli ameua siyo chini ya mamilioni ya watu, kwanini watu wasiogope? Wewe shujaa mbona unajiita Makojo, taja jina lako halisi tukutafute
 
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana

Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro

Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi mlikuwa wapi kutetea ipatikane Nuru

Mbona mzee Membe alikuwa Jasiri kujitetea katiba mbele ya Magufuli Bila Uoga

Tuwe wakweli Tanzania hatuna Upinzani na Watoto wetu wanapoteza muda bure kushabikia huu upuuzi

Huwezi Kuwa na Wapinzani legelege wanaoshindwa kuisema Serikal kwa wakati sahihi wanamsubiri Kiongozi astaafu au afe ndio waanze kumshambulia

RIP Magufuli

RIP Maalim Seif
Kwanza andika ukweli hakuongoza miaka 7 ila miaka 5 na miezi 4 tu.
 
Moja wapo ya takataka zilizopo Lumumba ni johnthebaptist , utanisamehe John! bahati mbaya uko hivyo and this is comming from my conviction!
Sisi ndio waasisi wa Chadema

Ndio tumemwambia Lisu kwamba Mbowe aendelee na uenyekiti hadi Maridhiano yakamilike 2030

TAL kaomba NAULI akajitafakari nchini kwake

Ndio Halima kaanza kumuandalia uelekeo mpya

Karai hawezi kuelewa haya mambo

Arusha kuna Wimbo: Lema kauza Ubunge kwa Mrema
 
Back
Top Bottom